Florah alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi mahakamani juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili mume wake ambayo inasikilizwa katika mahakama ya wilaya ya ilala.
"Mbasha nimeshamsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja kuniangukia miguuni na kuniomba msamaha..lakini hili la ubakaji ni suala la mahakama" Alisema.
hivi huyu mama ni mtumishi kweli? anatangaza injili gani kupitia nyimbo zake? Kwani ni lazima amwangukie miguuni yeye mbona hajamwangukia mwenyezi Mungu kwa makosa yake.
ReplyDeletedada tafakar mungu katenda mangapi juuyako alaf umwambie mmeo akuangukie ww!!!
ReplyDeleteWee Frola, Emma ni mumeo, mwanamke gani wa kibantu uliyekosa adabu kwa mumeo namna hiyo. Nyie zungumzeni tuwaone mitaani mr & mrs hakuna haja ya kupita perete kwenye mitandao kama hivi. Wee vipi mama!
ReplyDeleteHajui analolisema hata kidogo. Ni bora anyamaze kimya
ReplyDeleteMIYE NAULIZA HIVI JE NI WANGAPI WEWE FLORA UMEWAANGUKIA??? AU WEWE HUNA MAKOSA MWENZETU???
ReplyDeleteMUNGU ANASEMA SAMEHE NA USAHAU!! WEWE VIPI HAPO?? NAJIULIZA NI MUNGA GANI UNAYEMUHESHIMU AMBAYE ANAKUBALI KUSAHAME BILA YA KUSAHAU???
ReplyDeletemuogope mungu wako flora!!! usimtendee mwezio jambo ambalo wewe hutaki kutendewa
ReplyDeleteHuyu mwanamke sio mcha mungu ila ni mtafutaji michuzi kupitia injiri. Ameisha zoea kufirisha ndio maana anaongelea sana mambo ya kufilana
ReplyDeletefrola hebu acha ujasiri usiokuwa na hekima. huyo ni mumeo hebu fanya heshima kidogo tu. DUNIA DUARA UTAJAMKUMBUKA HUYO UNAEMNYANYASA SASA.. NI BABA MTOTO WAKO HUYO. FROLA FROLA DUNIA HADAA. WAKO WAPI WALIOKUWEPO KAMA WEWE? MBASHA NI MUMEO TU. HAWEZI KUKUANGUKIA KWANI WEWE NI MUNGU/? GEUKA UANGALIE ULIKOTOKA.
ReplyDelete