Florah mbasha: Nipo Tayari Kurudiana na Mume Wangu.

Muimbaji wa muziki wa injili, florah mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake emmanuel mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia mguuni na kumuomba msamaha.

Florah alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi mahakamani juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili mume wake ambayo inasikilizwa katika mahakama ya wilaya ya ilala.

"Mbasha nimeshamsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja kuniangukia miguuni na kuniomba msamaha..lakini hili la ubakaji ni suala la mahakama" Alisema.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hivi huyu mama ni mtumishi kweli? anatangaza injili gani kupitia nyimbo zake? Kwani ni lazima amwangukie miguuni yeye mbona hajamwangukia mwenyezi Mungu kwa makosa yake.

    ReplyDelete
  2. dada tafakar mungu katenda mangapi juuyako alaf umwambie mmeo akuangukie ww!!!

    ReplyDelete
  3. Wee Frola, Emma ni mumeo, mwanamke gani wa kibantu uliyekosa adabu kwa mumeo namna hiyo. Nyie zungumzeni tuwaone mitaani mr & mrs hakuna haja ya kupita perete kwenye mitandao kama hivi. Wee vipi mama!

    ReplyDelete
  4. Hajui analolisema hata kidogo. Ni bora anyamaze kimya

    ReplyDelete
  5. MIYE NAULIZA HIVI JE NI WANGAPI WEWE FLORA UMEWAANGUKIA??? AU WEWE HUNA MAKOSA MWENZETU???

    ReplyDelete
  6. MUNGU ANASEMA SAMEHE NA USAHAU!! WEWE VIPI HAPO?? NAJIULIZA NI MUNGA GANI UNAYEMUHESHIMU AMBAYE ANAKUBALI KUSAHAME BILA YA KUSAHAU???

    ReplyDelete
  7. muogope mungu wako flora!!! usimtendee mwezio jambo ambalo wewe hutaki kutendewa

    ReplyDelete
  8. Huyu mwanamke sio mcha mungu ila ni mtafutaji michuzi kupitia injiri. Ameisha zoea kufirisha ndio maana anaongelea sana mambo ya kufilana

    ReplyDelete
  9. frola hebu acha ujasiri usiokuwa na hekima. huyo ni mumeo hebu fanya heshima kidogo tu. DUNIA DUARA UTAJAMKUMBUKA HUYO UNAEMNYANYASA SASA.. NI BABA MTOTO WAKO HUYO. FROLA FROLA DUNIA HADAA. WAKO WAPI WALIOKUWEPO KAMA WEWE? MBASHA NI MUMEO TU. HAWEZI KUKUANGUKIA KWANI WEWE NI MUNGU/? GEUKA UANGALIE ULIKOTOKA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad