Hali ya Mama Yake Diamond si shwari, Diamond Agoma Kusema lolote

TUMUOMBEE! Afya ya mama mzazi wa msanii nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz, Sanura Kassim ‘Sandra’ bado si shwari juzikati hali yake ilibadilika ghafla na kuilazimu familia yake kumkimbiza katika Hospitali ya TMJ iliyoko Mikocheni jijini Dar ambako amepewa kitanda, Ijumaa limetonywa.

Diamond alipotafutwa kuzungumzia afya ya mama yake aligoma kusema lolote zaidi ya kuomba aachwe kwani wanao uwezo wa kuzungumzia mambo mengine bila kugusia kuhusu mzazi wake.“Naomba unipe muda maana nina matatizo sana, hata kuzungumzia ishu hiyo nadhani hakuna haja,” alisema Diamond.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. STAY STRONG MAN&ALL THE BEST

    ReplyDelete
  2. GET WELL SOON SANDRA!!!!

    ReplyDelete
  3. ya kanumbaaaa ila wewe umeenda opposite!jitahid kumzungusha ila ukweli unajua wewe ulichokifanya

    ReplyDelete
  4. WANAMUONEA WIVU MAMA WA WATU ASILE VYA MWANAYE WAKATI SHIDA ZOTE ZA KUMLEA MWAYE YEYE NDIYE ALIYE ANGAIKA NAE.MMWENYEZI MUNGU AKUPONYE HARAKA NA UWE MFANO KWA WENGINE KATIKA MALEZI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mama anaumwa mawazo ya mwanaye amechoka na tabia za mtoto wake hakuna mzazi atayevumilia upupu wa mwanaye

      Delete
    2. basi mama wenye watoto wa kiume wote wangekuwa wanaumwa kwasababu wanaume wote siku hizi tabia zenu kama za huyo diamond au kwasababu ye famous yake mnayajuwa ndio kawa mbaya kushinda nyie msojulikana wanaume wote malaya msimuonee yeye tu

      Delete
    3. basi mama wenye watoto wa kiume wote wangekuwa wanaumwa kwasababu wanaume wote siku hizi tabia zenu kama za huyo diamond au kwasababu ye famous yake mnayajuwa ndio kawa mbaya kushinda nyie msojulikana wanaume wote malaya msimuonee yeye tu

      Delete
  5. F R E E M A S O N

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad