Hayawi Hayawi: Wema Aonyesha Pete Yake ya Uchumba

Leo katika pita pita zangu kwenye kurasa za mastaa mtandaoni nimekutana na hii picha ya madam kwenye ukurasa wa mmoja kati ya wapambe wake na kuandikiwa maneno “Ni nini Icho kwani kidolen?”.

Picha hii ya Madam imeibua komenti  kabao huku wengine wakisifia na kutoa vijembe kwa wale wanaochonga sana kuhusu madam, huku wengine wakiendelea kuponda kuwa madamu anajifariji tu kutokana na kile wanachodai kuwa mapigo ya Diamond na Zari yanampeleka puta.

Nimnyukano tu wamaneno unaoendelea huko Insta baina ya team hizo mbili.

Wale wajuzi hebu fungukeni hiyo pete ni yauchumba au? Kama ni kweli basi tumpongeze madam kwa hatua hiyo, kuhusu nani amemvisha hata mimi sijui.

Mzee wa Ubuyu

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nani anaoa kicheche siku hizi nyie?? huyo si wife material.. hivi mnakumbuka chibu anataka kutolewa roho kwa euro 250 german alaf yeye anamwagia mwanamziki wa siji yamoto band mbagala karibu milioni klisha anakuja lalamika jamaa mchoyo hana ela eti anarudi nyuma??? she need to grow up!

    ReplyDelete
  2. HONGERA WEMA!!!

    ReplyDelete
  3. Wema naye ni mwanamke wa kuoa au kujistarehesha naye tu.Angekuwa wa kuolewa angeshaolewa zamani kabla hajachakaa na wanaume waliowahi kumtongoza na kujivinjari naye.

    ReplyDelete
  4. Bwana pete ckuiz zinavaliwa adi kwente nanii iyo pete tu kawaida

    ReplyDelete
  5. HEEE HEE HEE KWANI PETE NDIO NDOA??????? OLEWA TUONE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad