Huwezi Amini Diamond Asema Choo cha Nyumba Yake Kimetengenezwa Kwa Mil 70 , Mwenyewe Akiita STATE HOUSE
9Udaku SpecialMarch 23, 2015
Diamond Platnumz
In my 70Million Pure Gold plated toilet...pupping and Movies Lol!....i can't wait to play dirty game with her tonight ...IN THE MAKING OF STATE HOUSE!!!..thanks alot @Red_interiors i cant wait for the State house to Be Done! Done!"-Diamond captioned this photo
hongera sana bwamdogo lkn kumbuka na kutoa sadaka kwa watu wasiojiweza km vile mayatima na wengineo sababu ushaweka hakiba ya dunia .....hivyo basi usisahau na hakiba ya akhera......big up.......
we na ushamba wako wa kujionyesha kila kitu unajuwa cho cha mengi.dewji .bakheresa vimejengwa kwa sh ngapi na hawasemi ngaoja wenyewe wazee wa kazi waje kuvichukuwa na usilalamike umewatangazia mwenywe ka mkao wa kula
GO GO GO GOOOO.......RAIS
ReplyDeleteAnaongea kiingereza kigumu huyu!
ReplyDeleteJamaa yupo vizuri sana sisi twenye wivu wacha tule ndimu zeeeetuuu.
Acheni kusifia ujinga na nyie!!! picha za hotelini hizo na wala siyo state house kama anavyoita.... kwa maisha aliyonayo bado sana
ReplyDeleteDIAMOND UKO VIZURI KWELI!!!!HOW IS SHE? I MEAN ZARI!! WE LOVE YOUR COUPLE IS SOO NICE!!!
ReplyDeletehongera sana bwamdogo lkn kumbuka na kutoa sadaka kwa watu wasiojiweza km vile mayatima na wengineo sababu ushaweka hakiba ya dunia .....hivyo basi usisahau na hakiba ya akhera......big up.......
ReplyDeleteAtazila mwenyewe kwa kudanganya watu. vitu vyewewe made in china.
ReplyDeletewe na ushamba wako wa kujionyesha kila kitu unajuwa cho cha mengi.dewji .bakheresa vimejengwa kwa sh ngapi na hawasemi ngaoja wenyewe wazee wa kazi waje kuvichukuwa na usilalamike umewatangazia mwenywe ka mkao wa kula
ReplyDeleteWewe ndio umeongea vya maana! wengine wote wanasifia ujinga kisa ni Diamond
ReplyDeleteHongera kwa nyumba ila usitudanganye eti pure gold hizo. una shilling ngapi za kuweka pure Gold ww?
ReplyDelete