Huwezi Amini Diamond Asema Choo cha Nyumba Yake Kimetengenezwa Kwa Mil 70 , Mwenyewe Akiita STATE HOUSE

Diamond Platnumz
In my 70Million Pure Gold plated toilet...pupping and Movies Lol!....i can't wait to play dirty game with her tonight ...IN THE MAKING OF STATE HOUSE!!!..thanks alot @Red_interiors i cant wait for the State house to Be Done! Done!"-Diamond captioned this photo

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. GO GO GO GOOOO.......RAIS

    ReplyDelete
  2. Anaongea kiingereza kigumu huyu!
    Jamaa yupo vizuri sana sisi twenye wivu wacha tule ndimu zeeeetuuu.

    ReplyDelete
  3. Acheni kusifia ujinga na nyie!!! picha za hotelini hizo na wala siyo state house kama anavyoita.... kwa maisha aliyonayo bado sana

    ReplyDelete
  4. DIAMOND UKO VIZURI KWELI!!!!HOW IS SHE? I MEAN ZARI!! WE LOVE YOUR COUPLE IS SOO NICE!!!

    ReplyDelete
  5. hongera sana bwamdogo lkn kumbuka na kutoa sadaka kwa watu wasiojiweza km vile mayatima na wengineo sababu ushaweka hakiba ya dunia .....hivyo basi usisahau na hakiba ya akhera......big up.......

    ReplyDelete
  6. Atazila mwenyewe kwa kudanganya watu. vitu vyewewe made in china.

    ReplyDelete
  7. we na ushamba wako wa kujionyesha kila kitu unajuwa cho cha mengi.dewji .bakheresa vimejengwa kwa sh ngapi na hawasemi ngaoja wenyewe wazee wa kazi waje kuvichukuwa na usilalamike umewatangazia mwenywe ka mkao wa kula

    ReplyDelete
  8. Wewe ndio umeongea vya maana! wengine wote wanasifia ujinga kisa ni Diamond

    ReplyDelete
  9. Hongera kwa nyumba ila usitudanganye eti pure gold hizo. una shilling ngapi za kuweka pure Gold ww?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad