January Makamba Amjbu Tena Lowassa Baada ya Lowassa Kumponda Katika Mitandao ya Kijamii Kuwa ni Mchanga Akalelewe

Makamba
"Hapo juzi Niliandika katika mitandao ya kijamii hasa nikizungumzia mchezo mchafu wa kisiasa unaofanywa na kambi ya ndugu EDWARD NGOYAI LOWASA. na nipende kurudia tena kuita kwamba anachoendelea kufanywa na edward lowasa kuwahadaa wananchi watanzania sasa aone kwamba tunatambua mbinu hizo chafu.\

Ndugu zangu watanzania baada yangu kuyasema haya edward ngoyai lowasa ameendelea kujitetea hasa akiandika katika ukurasa wake ya twiter na magazeti akisema amenipuuza sababu ya pili akisema mmi ni mchanga natakiwa niendelee kulelewa nikue, Naomba kumwambia lowasa udogo wangu mmi si katika Ukombozi wa maslahi ya Watanzania ila kama kweli Nitakuwa mchanga basi uchanga wangu nauona katika Kutokuwa mchafu, Mla rushwa, Mlaghai,Asiyewahadaa watanzania kwa mwamvuli wa dini,Lakini mwisho uchanga wangu ni kutowapikia ubwabwa washabiki wa siasa za Kumsafisha aliye mchafu.

Hayo niliyotaja tu ndio niko mchanga bado na kwa hayo edward ni mkongwe kupitiliza.
Mwisho namshauri edward aache maigizo na taifa hili watanzania wanahitaji kiongozi muadilifu na si anayewapa ubwabwa na kuwatumia basi kuja kwake wakiwa hawajashika tiketi za gari waliyosafiri nayo."
January Makamba.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Thanks for sharing

    Rajahmundry City information Website - FULLRJY.COM

    ReplyDelete
  2. Asanteee January

    ReplyDelete
  3. Makamba mpuuzi Tu,

    ReplyDelete
  4. Huyu January amekulia nje. Hajui hata anachokiongea. Nani wa kumpa urais huyu? Halafu anashindana na wakongwe! Amuulize Zitto, Mrema na sasa Lipumba. Ukweli kwamba baba yake alikuwa alikuwa kk wa CCM au yeye kumwandikia Kikwete hotuba haimfanyi kuwa unique. Ndo yale yale. Ukiendesha baskeli ya miti unadhani hata gari utaendesha.

    ReplyDelete
  5. HIVI KWA UELEWA WAKO NANI AKUPE URAIS??????????

    ReplyDelete
  6. haaaa january ww bado kua kua kidogo hatuwezi kukupa nchi kwa sasa

    ReplyDelete
  7. Lowassa ni rais wengine mtapita tu,.. Ww makamba umekulia nje ya nchi babaako kiongozi na ww unataka uongoz hii serikali ni ya ukoo wenu?..

    ReplyDelete
  8. January Makamba, kwa nini unaongelea hayo kwenye mitandao? Kiongozi gani wewe usiyejua hata taratibu za kumkosoa mwanachama mwenzako au siku hizi chama chenu hakina vikao?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad