Major plans for my humble abode - home recording studio, gym and pool and maybe a puppy for bae. God is good! Planning ahead #RealEstate #Lifestyle #Property #Blessings #AfricanBoy
Juma Jux Showing His House, The Whole House This Time...Tuone Kama na Hii Mtaponda!
14
March 12, 2015
Major plans for my humble abode - home recording studio, gym and pool and maybe a puppy for bae. God is good! Planning ahead #RealEstate #Lifestyle #Property #Blessings #AfricanBoy
Tags
kapoz kwenye mjengo wa wenye pesa zao, kama ni wake atakuwa amepewa kwenye zile pesa za scrow!! balaa hii
ReplyDeleteKaimba nn cha maana mpaka ajenge jumba ilo!
ReplyDeletemadawa ya kulevya yanamfaidsha tunamjua ss watu was kimara kua anafanya hzo biashara na jamaa zake wakacha
ReplyDeletehata kama anauza unga hawezi kuwa na uwezo wa kuuza hata robo kilo,, huyu kapiga picha tu hapo ajikuze zaidi,, wenye nazo hawafanyi ujivuni huo. ujinga tu!!
ReplyDeletemh binadamu hatuna jema hatupendi wenzetu waendelee hongera jux,
ReplyDeleteSawa kabisa mdau umenena
DeleteWvu unawasumbua vya kwenu ambavyo c vya madawa vko wp.mfyuuuuu zenu
ReplyDeleteJux kama ni kweli unauza unga,nakuahidi,unaweza kununua ' raha'zote duniani kama nyumba nzuri,gari zuri,minyororo ya gold ,lakini kamwe huwezi kununua ' furaha' ya moyoni.Huwezi kuuza sumu inayoharibu wanadamu wenzio wewe ukabaki salama.
ReplyDeleteHilo jumba ni la kigogo mmoja wa umoja wa vijana wa chama,unga wake anapitishia vip lounge pale airport haguswi na mtu
ReplyDeleteSiku moja akaulizwa na Millardayo
ReplyDeleteMillard:Tumesikia umekuwa unasoma China,umeshamaliza?
Jux:Ndio ahh Hapana(akakubali kisha akaonekana amefikiria kisha akakubali)
Millard:Unasomea nini?
Jux:Internationa Bussiness
Siku nyingine akaulizwa (sio na Millard) kwa nini haweki picha za akiwa chuoni China akasema hapendi show of halafu ni maisha binafsi. Kumiliki nyumba ni maisha binafsi lakini anatuonesha.
Nahisi kuna la ziada atakuwa anafanya China,ikimbukwe aliyesemekana kuwa mpenzi wake,Jack Cliff ,alikamatwa akafungwa China kwa dawa za kulevya.
sembe.
ReplyDeleteKwao anakoishi na maza wake wamejenga bonge la 'ngome' kama ikulu fulani vile,haiingii mtu pale na wamejitenga kiaina na jamii inayowazunguka kabisa kama alivyokuwa anaishi Osama bin Laden. Kama huko sio kujihami kuna nini jamani?
ReplyDeleteGod people brother is just working hard give him credit. Acheni kashfa
ReplyDeletenapenda kaz yko no matter what pple says komaa na mjengo uko poa sana n juhud zko zmekufksha hapo salute to u deserve
ReplyDelete