Juma Jux Showing His House, The Whole House This Time...Tuone Kama na Hii Mtaponda!

Some Weeks Ago Juma Jux aliweka Picha ikionyesha kipande cha nyumba yake , picha hiyo ilitafsiriwa vibaya na  baadhi ya mashabiki wake na wengine kusema anajenga gala...Sasa leo amepost ikiwa inaonekana vizuri na kusema haya

Major plans for my humble abode - home recording studio, gym and pool and maybe a puppy for bae. God is good! Planning ahead #RealEstate #Lifestyle #Property #Blessings #AfricanBoy


Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kapoz kwenye mjengo wa wenye pesa zao, kama ni wake atakuwa amepewa kwenye zile pesa za scrow!! balaa hii

    ReplyDelete
  2. Kaimba nn cha maana mpaka ajenge jumba ilo!

    ReplyDelete
  3. madawa ya kulevya yanamfaidsha tunamjua ss watu was kimara kua anafanya hzo biashara na jamaa zake wakacha

    ReplyDelete
  4. hata kama anauza unga hawezi kuwa na uwezo wa kuuza hata robo kilo,, huyu kapiga picha tu hapo ajikuze zaidi,, wenye nazo hawafanyi ujivuni huo. ujinga tu!!

    ReplyDelete
  5. mh binadamu hatuna jema hatupendi wenzetu waendelee hongera jux,

    ReplyDelete
  6. Wvu unawasumbua vya kwenu ambavyo c vya madawa vko wp.mfyuuuuu zenu

    ReplyDelete
  7. Jux kama ni kweli unauza unga,nakuahidi,unaweza kununua ' raha'zote duniani kama nyumba nzuri,gari zuri,minyororo ya gold ,lakini kamwe huwezi kununua ' furaha' ya moyoni.Huwezi kuuza sumu inayoharibu wanadamu wenzio wewe ukabaki salama.

    ReplyDelete
  8. Hilo jumba ni la kigogo mmoja wa umoja wa vijana wa chama,unga wake anapitishia vip lounge pale airport haguswi na mtu

    ReplyDelete
  9. Siku moja akaulizwa na Millardayo
    Millard:Tumesikia umekuwa unasoma China,umeshamaliza?
    Jux:Ndio ahh Hapana(akakubali kisha akaonekana amefikiria kisha akakubali)
    Millard:Unasomea nini?
    Jux:Internationa Bussiness

    Siku nyingine akaulizwa (sio na Millard) kwa nini haweki picha za akiwa chuoni China akasema hapendi show of halafu ni maisha binafsi. Kumiliki nyumba ni maisha binafsi lakini anatuonesha.
    Nahisi kuna la ziada atakuwa anafanya China,ikimbukwe aliyesemekana kuwa mpenzi wake,Jack Cliff ,alikamatwa akafungwa China kwa dawa za kulevya.

    ReplyDelete
  10. Kwao anakoishi na maza wake wamejenga bonge la 'ngome' kama ikulu fulani vile,haiingii mtu pale na wamejitenga kiaina na jamii inayowazunguka kabisa kama alivyokuwa anaishi Osama bin Laden. Kama huko sio kujihami kuna nini jamani?

    ReplyDelete
  11. God people brother is just working hard give him credit. Acheni kashfa

    ReplyDelete
  12. napenda kaz yko no matter what pple says komaa na mjengo uko poa sana n juhud zko zmekufksha hapo salute to u deserve

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad