Juma Jux |
Mwanmuziki Jux ambae umaarufu wake si wa kiivyo katika muziki anaonekana kumpoteza kabisa Diamond kutokana na Hekalu analomalizia kujenga lenye ghorofa moja...
Jumba hilo lenye hadhi ya kistaa lina studio ya kurekodi, Gym kwa ajili ya mazoezi na Bwawa la Kuogelea ndani....
kwa pesa gani anayopata kimuziki? kama sio kujikuza na kutafuta ufahari wa kupiga picha kujionyesha kwamba ana mjengo.kwanza inaonyesha kabisa sio mali yake, pesa gani aliyonayo kulinganisha na Dimond?
ReplyDeletekwani ww unajua huwa unamuwekea jux pesa zake bank au unabwabwaja kama umekunywa uji wa moto. Huyo Domo aendelee kuwavua wasichana chupi ndo anachokijua.
ReplyDeleteNa nyie ndo hao hao wakupenda kutukuza watu wakati nyie wenyewe hamna mpango kimaisha wala hamtegemei kutoka hata nusu mita, wee kaa na ushabiki wa staa wako asie na pesa ya kujenga bali kupiga picha kwenye mijengo na kujifanya ya kwake,,, wee fala tu
ReplyDeleteWatu washamba yaani hii nyumba cha kushangaza nin nini cha ajabu hapo mbona ya kawaida tu sisemi kama hajajitahidi but watu wamekuwa wanaizungumzia utafikiri kajenga hekalu mnamsema diamond yuko kwenye nyumba ya kupanga mnajuaje kama. Ajengi. Ya kwake.
ReplyDeleteDiamond hauzi unga
ReplyDelete