Kauli ya Mama Maria Nyerere Baada ya Kuzushiwa Kifo

Mama Maria Nyerere ambaye ni mjane wa mke wa Rais wa kwanza wa Tanzania, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jana  jioni  alizungumza na kituo cha runinga cha Taifa, TBC na kukanusha uvumi ulioenezwa katika mitandao ya kijamii kuwa ameaga dunia.

Akizungumza na mtangazaji, Mama Nyerere alimuuliza, "ukiniangalia unanionaje?" ambapo mtangazaji alimjibu, "nakuona mzima!" huku wakitabasamu.

Mama Maria alisema huu ni mwaka wa uchauguzi, hivyo mambo haya ya uzushi si ya ajabu.

Kabla ya uvumi wa kizushi kuhusu Mama Maria, juzi kupitia WhatsApp ulikuwa ukitumwa ujumbe mwingine wa kumzushia kifo Reginald Mengi, Mwenyekiti wa makampuni ya IPP.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. May the Almighty one guide and protect you along the way my first Tanzanian first Lady of all the time Mama Maria Nyerere

    ReplyDelete
  2. Yani wabongo kwa uzushi hawajambo. Kudadeki zenu wazushi wote ni wachawiiiiiiiiii!!!!

    ReplyDelete
  3. WACHAWI WAKUBWA SERIKALI NAOMBA IFANYE JUU CHINI IMVUJE MTU WA KWANZA KURUSHA HIYO MSG APEWA ADHABU KALI ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE ASHITAKIWA NA KUFUNGA NA FAINI ASILIPE FAINI PEKE YAKE!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad