Kauli ya Zitto Kabwe baada ya Kushindwa Kesi Aliyoifungua Dhidi ya CHADEMA.

Mahakama  Kuu ya Tanzania, leo imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Zitto Zubeir Kabwe mwaka jana, akipinga kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kumjadili, akikitaka chombo hicho cha sheria, kukielekeza chama chake, kusubiri kwanza rufaa yake aliyokuwa amekata katika Baraza Kuu.

Mahakama iliyoketi chini ya Jaji Mziray, ilikubaliana na hoja za mawakili wa Chadema, waliosema kuwa ufunguaji wa kesi hiyo ulikiuka baadhi ya vifungu vya sheria na hivyo kumtaka mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini kulipa gharama zote za kesi hiyo.

Baada  ya  hukumu  hiyo, Zitto  Kabwe amesema  hakuwa  na wito wa mahakamani leo na  Jaji  aliyekuwa  akiisikiliza  kesi  hiyo amehamishiwa Tabora, hivyo  mwanasheria  wake  ameenda  kufuatilia  mazingira  ya  hukumu  hio.

"Hatuna taarifa ya Jaji Mpya. Mwanasheria wetu anafuatilia na atatoa statement", ameandika  Zitto  Kabwe  katika  ukurasa  wake  wa  twitter.

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah pole kaka zitto

    ReplyDelete
  2. Wakati ni ukuta,Kiburi si maungwana

    ReplyDelete
  3. Yani sasa za Chafe ma, uozo mtupu. Mnajua fika Zit to ndio star wen u no matter what, lakini kwa uchu wenumber wa madaraka mna ona bora mumfunike asifurukute. Nani alikuwa ana penda Cha demand kabla ya Zitto. Popote atakapoenda not a yake itaangaza coz anajua anachofanya, so km kina Lema, Liss ambao ni bendera mfuata upepo.
    Mmejidhihirisha hata mkipewa chef ni byre kwa sababu wengi wen u nyie viongozi wa Chadema ni wabunge na hamjafanya jambo la mana kwenye majimbo yenu zaidi ya kunufaika nyie binafsi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwanza rudi chekechea ukajifunze kuandika ndo uje hapa kuandika huo utumbo wako,, maana hata hujaelweka

      Delete
    2. SIJUI UMEANDIKA LUGHA GANI HAPA NA UJINGA WAKO,CHEFUUUUU!

      Delete
    3. It's predict text guys, calm down. When you type a Swahili word
      You panic a lot that's why your leaders are taking granted of you.

      Delete
    4. Hee lugha gani hiyo.. uchafu ameandika!!!

      Delete
  4. Ka andika kiluga cha kwao.. MWOSHA UOSHWA.. ZITO ;

    ReplyDelete
  5. UNGEFANIKIWA KUTOA KWANZA TAARIFA YA UKAGUZI WA RUZUKU KWENYE VYAMA KABLA YA ESCROW UNGEWEZA KUSALIMIKA SASA UMEONEKANA UNAICHIMBA SERIKALI UKILA NA KIPOFU USIMGUSE MKONO NDIVYO MCHEZO WA SIASA ULIVYO MTETEZI WA WANYONGE HUWA HASHINDI

    ReplyDelete
    Replies
    1. ANGEWATAJA NA WALE WALIOWEKA MABILIONI USWISI PENGINE AGEPONA.

      Delete
  6. JK mpe Zito nafasi,bado tunamuhitaji,ni mtetezi wa wanyonge,ni mmoja kati ya watu watakaoipeleka nchi mbele.Na CHADEMA imekula kwenu.Tupo tutaona,ni kuomba uzima.

    ReplyDelete
    Replies
    1. CHADENA NDIO IMEMLEA ZITTO .!!!

      Delete
    2. SAFI SANA CHADEMA HAKUNA KULINDANA KAMA CCM WAMAVYOFANYA!!! UKIFANYA KOSA LAZIMA UAZIBIWE ZITTO ATAONA MWENYEWE ALIKIPELEKA CHAMA MAHAKAMANI NA KATIBA IKO WAZI YA CHADEMA UKIISHITAKI CHAMA UMEJIVUA UANACHAMA. NENDA CCM NDIO MWISHO WAKO KISIASA MUULIZE KABURU YUKO WAPI SASA??WAULIZE WOTE WALIOKUWA NA NGUVU KATIKA UPINZANI WAKAHAMIA CCM WAKO WAPI SASA??

      Delete
  7. mamluki wa ccm huyu, mwache arudi kwao!! na wananchi sasa hivi weshaelimika!!!

    ReplyDelete
  8. Jamani!jamani!
    Zito ataondoka na wanachama wengi wa CHADEMA,amini msiamini,
    na ndio mwisho wa CHADEMA kwa zile ndoto za kuchukua nchi,chadema mmepoteza hazina kubwa.

    ReplyDelete
  9. Zitto nani hajui kama kaka ulikuwa unatumiwa na watu wa TISS kukihujumu CHADEMA..guys nawaambieni Chadema hawajakurupuka kumfukuza Zitto..nothing to argue on that..Zitto go to hell with your fellow dk.Kitila mkumbo..tena huyo kitila mimi sioni hata maana ya usomi wake..stupid

    ReplyDelete
  10. Zitto go to hell...you planned to dismantle Chadema...nani hajui kama ulikuwa unatumiwa na watu wa TISS kuhujumu chama..Chadema ni chama makini kijana wewe umekulia hapo alafu unataka kujifanya mjanja kuliko hao wazee wakina Dk slaa...with your fellow dk kitila mkumbo mimi sijui hata hiyo elimu yake huyo dk.kitila inamsaidia kweli...al they are fooled kwa vipesa vidogo tu..nothing to argue guys hawa ni wasaliti..usaliti ni kitu kibaya hakuna..

    ReplyDelete
  11. Rais Mtarajiwa ( LOWASA) hawa ndio watu wa kuwaweka utakapokuwa madarakani,
    na nyie chadema mwasema wa nini sasa hivi lakini muda si mrefu mtajutia haya maamuzi yenu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. NANI KWAKUAMBIA LOWASA RAIS??????? CHAMA LAZIMA KIFANYE MAAMUZI MAGUMU SIO KUCHEKEANA TU KUTWA KULINDANA!!!!YES MIYE SASA NAWAFAGILIA CHADEMA BIG UP!!!

      Delete
    2. PEOPLESS POWER!!!!!!!!!!!!!!

      Delete
  12. UMAMLUKI UMEMTUMBUKIA NYONGO CHEZEA CCM HAWAKUPI ATA UWENYEKITI WA SERIKALI ZA MITAA KWANI WANAJUA WEWE HUFAI UNAUMA HULU UNAPULIZA ULIIFANYA UNAIPENDA CHADEMA KUMBE UMNAFIKI HAYA TANGAZA MWISHO WAKO WA KUTUMIKIA SIASA SIULISEMA UTATANGAZA KUJIUZULU SIASA

    ReplyDelete
  13. MBONA COMMENT ZANGU HAZIONEKANI NINAKOSEA WAPI PULISHER NIJIBUNI

    ReplyDelete
  14. NGOMA IKIVUMA SANA MWISHO WAKE NI KUPASUKA

    ReplyDelete
  15. chadema najua mnatumia mabavu sana hata hivyo october si mbali mtaona kama mnafaa au la? siasa ni upendo wala si chuki najua kwa hali ya kawaida hata makofi ya binadamu kwa mbu ni ishara ya kifo
    mimi sina chama ila ni mwanasiasa .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Zito alichotakiwa kufanya kakitimiza kufichua majangili ufisadi umepevuka bongo hivyo kidogo kidogo unafichuliwa mpaka watanzania ambao 90% wapumbuvu wataamka kumbukeni ilianzia kwa Moringe sokoine wakaua mrema wakatia undondo mapambano bado yanaendelea

      Delete
  16. ZITTO ATAONDOKA NA KIVULI CDM IKO IMARA NA ITACHUKUA NCHI OCTOBER

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad