Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.
Magazeti Mengi yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais bila kumtaja Jina
Je ni Kigogo Gani Huyo ? na anatoka Chama Gani ? Kama Mdau Unajua Embu Tupia Jina Hapa
Wako wengi sio yeye pekee
ReplyDeletePumbavuuuuuuuuu!!! Kama hawataki kumtaja wangesubiri upelelezi uishe!! Sasa wanafichaficha baadae tutaskia tu kesi imeishia hewani kwa nini wasimtaje na sisi wananchi tujue kama kweli yuko mbaroni!! Wananitia hasira aaaaaarghhh!!!! ntaua mtu mie!!!!
ReplyDeletekudadekiiii....!! sa hy habar ina maan gani kama mtuhumiwa hamtaji hina lake wananchi 2wez kumjua..... na nyie ndo wale wale tu...!!
ReplyDeletehakuna lolote hajakamatwa mtu yeyote ni propaganda za kisiasa tu... kama kweli kuna mtu kakamatwa kwa nini inakuwa siri.....
ReplyDelete