Kwa Maneno Haya, Wolper Anajivunia Mpenzi Wake Aliempa ‘Ndinga’ Hili

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi kwenye ukurasa wake  mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya “Malkia” ..

Being with someone who won't give up on you”.  Akaandika tena  “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”.

Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwasasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye  anampenda na anaonyesha kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga hilo na huyo anaesifa hapo.

Mzee wa Ubuyu.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lakini si analipia mwacheni ni wakati wake hivi sasa

    ReplyDelete
  2. mtoto mzuri jamani acheni ahongwe gari

    ReplyDelete
  3. Anaona noma jana mmemtoa ameachwa kwa sababu ya vizinga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad