Lady Jay Dee Akerwa Kuzushiwa Kutundikwa Mimba

Mwanamuziki nguli wa kike hapa Tanzania Lady JayDee ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa Forever amefunguka na kuonyesha kukerwa na kitendo cha baadhi ya mashabiki wake wa Instagram ambao walimuelewa vibaya baada ya kupost picha jana na kusema kuwa tumbo lake limevimba na kusema ana mimba

"Imebidi nifute post Ili nielezee upya.Hivi watu hamuelewi kiswahili au ni nini ??? Nimesema tumbo limevimba sababu ya sahani,nikimaanisha mlo na nili post nakula hapo awali Sasa hayo maneno mengine yanatokea wapi? Au niwe naandika kichina? Kwani mliambiwa nitazaa Rais atakayewatoa katika shida zote mpaka mnishikilie mimba mimba..Hebu niacheni basi khaaa Nisiishi Kisa mimba? Aisee mnaboa sana. Basi niueni Kisa sijazaa Ili niwaondolee kero kabisa." aliandika Jide

Unalipi la kumwambia Jide hapo?

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POLE JIDE NDO MAISHA YA USTAA YALIVYO HIZO NDO CHANGAMOTO ZAKE!!!!LAKINI USIKONDE NI WASHABIKI WAKO TUNAKUPENDA TU!!!

    ReplyDelete
  2. HIYO NDIYO BONGO IME CHANGE NA KUWA NCHI YA WANAFIKI IT'S A BIG DAMN PITY

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad