Lemutuz Awapa Vidonge Masista Duu wa Mjini Wenye Michepuko Ambao ni Waume za Watu

LEMUTUZ STRAIGHT TALK LIVE:- Kama kweli unanipenda usinichagulie cha kuandika nasema hivi hapa mjini Dar it is almost like Sheria kila mbebezz mzuri lazima awe anatembea na Mume wa mtu yes I find it hard to believe WHY?.....

Kwa nini unatembea na Mume wa mtu ni kwa sababu hutaki kazi au huna elimu so unampenda Mume wa mtu cause anakulipia Maisha ndio maana unatamba Instagram na mapicha ya Mahoteli mara kwenye Ndege mara umeenda Majuu lakini hata siku moja huweki picha na Baby wako cause ni Mume wa mtu.....shame on you your a second hand yaani gademu mtumba huna thamani valueless na hopeless mazafantazz huna akili cause ungekuwa nazo ungejua kwamba Mume wa Mtu akiwa na wewe lazima.ana na mwingine mko circle mduara anawazunguka....hutaki kumpenda Blaza kwa sababu ni handsome lakini hana gademu pesa anakaa chumba cha kupanga Koma Koma Chumbani kwake.huwezi kupigia picha za kulingishia Instagram hahaha......

siku ya Birthday yako hawezi kukulipia ufanyie Seacliff so upige gademu picha za kuja kulingishia Instagram hahah so bora Mume wa Mtu ambaye hawezi kuja kwenye Birthday yako cause anaogopa kuonekana so unakata keki mwenyewe na washikaji.zako dead people just like you hahah na wao karibu wote wanatembea na waume za watu.....wewe ni mtumwa wa ujinga wako mwenyewe sura nzuri lakini kichwani umejaza gademu majivu unaogopa maisha so unakubali kuwa second hand akimtoroka mkewe ndio na wewe unapatiapo hahaha jamani wabebezz mnajua nawapenda sana please wachana na waume za watu sio powa kazana mwenyewe na.maisha...kumbuka ukishaanza na mume wa mtu maisha yako yote itakuwa waume za watu tu... imagine angekuwa Mume wako inavyouma kwa nini unamfanyia mwingine?.... HAHAHH U KNOW SAA YA KULALA WABEBEZZ MLIO.MACHO.GIVE ME SOME KISS PLEASE! & NA ASIYEPENDA hahaha just KUFWA for me kanitukane kwenye wall yako uniongezee followers hhaha GOOD NITE! - le Mutuz

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. i don't know who doesn't cheat in Tanzania, the whole country is f… up!!!! the sad part watt hawagope ukimwi ngoja watt waanze kudondoka kama maembe dodo lol!!

    ReplyDelete
  2. MI NAKUPENDAGA SANA LE BIG SHOW. Nashangaa hata watu wanaokuchukiaga cjui kwanini?!! Siku zote huwa unaongea ukweli tupuu.. watakaonuna na wanuneeee. Love u le gadem BIG show.

    ReplyDelete
  3. Kaka umechanganyikiwa nin? hivi nani atasikiliza huu upuuzi

    ReplyDelete
  4. WHAT ABOUT WRITING DOWN WANAUME WATEMBEAO NA WAKE ZA WATU?UMELENGA UPANDE MMOJA TU IT AIN'T FAIR YOU FUN WISE MAN

    ReplyDelete
  5. hehhehe you know

    ReplyDelete
  6. aaarrhhgg wee le mutuz ata umeenda mbali sana afadhali ata awo wanaohogwa na safari za majuu na kamtaji na kufanyiwa ma party cjui wapi,, eehh uswazi bwana kuna videmu vimeganda waume za watu wanaume wenyewe wala c wamana ela ya mboga tu anaona aswaa mke wake ana dhiki ila anajigandisha apo apo kurushana roho na mafumbo kisa baba fulani cheap cheap cheap kabisaa mburura to the highest order!!!

    ReplyDelete
  7. Nahisi huyu jamaa ni shoga. Mambo yanayopaswa kuandikwa na wanawake yeye ndo anshadidia. I swear this guy is bloody faggot.

    ReplyDelete
  8. NEXT TIME ATAWASEMA WANAUME!!!

    ReplyDelete
  9. Kwa hiyo unamwambia k liny

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad