Lissu awazuia wabunge wa chadema kuhudhuria uzinduzi wa act-wazalendo.
6
March 27, 2015
Lissu awazuia wabunge wa Chadema kuhudhuria Uzinduzi wa Chama cha ACT-WAZALENDO. Amesema atakaye hudhuria ni msaliti ndani ya Chadema na hatua kali zitachukuliwa dhidi ya mbunge huyo
Chadema mshaanza kumwogopa zitto,kumbe mnajua ndaniya chama chenu kunawabunge wanamkubali zittokabwe mnajihami mapema kwa vitisho visivyo naumuhimu hasa wewe lisu huwaga sikuelewagi kabisa.Naweza sema ni wewe ccm ndio wanaokutumia kuharibu upinzani ktk nchi hii sema ikosiku ukweli utajulikana tu!MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ReplyDeleteWaTanzania wote tunajua Lisu ni msaliti wa Chadema, iko siku atajulikana
ReplyDeleteNa bado mtaomba poo
ReplyDeleteDUA LA KUKU HILO!!!
ReplyDeleteHuyu ni mpuuzi n mropokaji tu mwanashelia feki kieleeletu kimezidi na njaatu acha awakimbize huyo mtakoma mwaka huu
ReplyDeleteSio sahihi hata kidogo kwa mwanachadema yeyote kuhudhuria mkutano wa ACT kwa kuwa chama hiki ni mali ya Usalama wa Taifa na ni CCM b.Zitto amepania kuibomoa Chadema na sio Ccm!
ReplyDelete