Lissu awazuia wabunge wa chadema kuhudhuria uzinduzi wa act-wazalendo.

Lissu awazuia wabunge wa Chadema kuhudhuria Uzinduzi wa Chama cha ACT-WAZALENDO. Amesema atakaye hudhuria ni msaliti ndani ya Chadema na hatua kali zitachukuliwa dhidi ya mbunge huyo

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chadema mshaanza kumwogopa zitto,kumbe mnajua ndaniya chama chenu kunawabunge wanamkubali zittokabwe mnajihami mapema kwa vitisho visivyo naumuhimu hasa wewe lisu huwaga sikuelewagi kabisa.Naweza sema ni wewe ccm ndio wanaokutumia kuharibu upinzani ktk nchi hii sema ikosiku ukweli utajulikana tu!MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  2. WaTanzania wote tunajua Lisu ni msaliti wa Chadema, iko siku atajulikana

    ReplyDelete
  3. Na bado mtaomba poo

    ReplyDelete
  4. DUA LA KUKU HILO!!!

    ReplyDelete
  5. Huyu ni mpuuzi n mropokaji tu mwanashelia feki kieleeletu kimezidi na njaatu acha awakimbize huyo mtakoma mwaka huu

    ReplyDelete
  6. Sio sahihi hata kidogo kwa mwanachadema yeyote kuhudhuria mkutano wa ACT kwa kuwa chama hiki ni mali ya Usalama wa Taifa na ni CCM b.Zitto amepania kuibomoa Chadema na sio Ccm!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad