Lowassa: Siwezi Kumjibu Mtu Anayesema Sema Ovyo Kuwa Nakusanya watu Wanishawishi Kugombea Urais

Lowassa
Akiongea mbele ya wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya kikristo waliokwenda kumshawishi agombee urais wa Tanzania, Lowassa amesema hawezi kumjibu mtu aliyebwabwaja katika magazeti kuwa anakusanya watu eti kwa lengo la kupata uungwaji mkono! Amesema akimjibu atampa ujiko hivyo amemdharau!

Katika magazeti ya leo yalimnukuu Makamba akidai kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kusafirisha na kuwalipa watu ilikujionyesha mbele ya jamii kuwa wanashawishiwa kuomba urais!

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BWANA JANUARY ANATAKA UMAARUFU KWA SIFA WAKATI YY BADO MCHANGA KISIASA

    ReplyDelete
  2. NA LOWASA HAFAI.....FISADIIIIIIIIIIIIIII...MPYUUUUUUUU

    ReplyDelete
  3. ACHANA NAO BROTHER EDDY, KITOTO CHENYEWE BADO SAAANA...WE CHOMA MAFUTA TUPO NYUMA YAKO... WATU WAMEONA . KIZURII. ....... UZA.??? NA KBAYA....????..

    ReplyDelete
  4. hafai kabisaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  5. MAKAMBA AKIWA RAIS TANGA ITAHAMIA AMERIKA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad