Habari kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni mtu wa karibu wa Lulu, staa huyo alijikuta akiumia moyo kama walivyo binadamu wengine lakini hali hiyo imekuwa ikimtesa hasa aina ya meseji zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanaume ‘akiwa karibu naye’ basi ajiandae kuaga dunia.
“Eti mwanaume kama ana jina linaloishia na ‘MBA’ kama Komba au Kanumba (marehemu steven Kanumba) basi imekula kwake,” kilisema chanzo hicho na kufafanua kwamba maneno hayo yameuchoma moyo wa Lulu kiasi kwamba anahitaji ushauri wa kisaikolojia.
Ilisemekana kwamba, hali hiyo imemkosesha raha Lulu na kuwaona baadhi ya Watanzania kuwa ni watu wasiojua maumivu ya moyo kwani naye ana moyo wa nyama na siyo chuma.
Chanzo hicho kilieleza kwamba, kwa umri wa Lulu wa miaka 20 amebebeshwa mzigo mzito mno hadi amefikia hatua ya kutamka waziwazi: “Watanzania imetosha, nimewakosea nini? Naombeni nihurumieni jamani!”
Lulu Michael Ahuzunishwa na Watu Wanao Mkejeli Kwa Kumhusisha na Kifo cha Komba
9
March 06, 2015
ukijiheshimu huwezi kubeba mizigo kama hiyo jamani jaribuni kujiheshimu
ReplyDeleteUkome kutembea na bana zako kima weee!!!!hukuona aibu kuangalia vyombo vya wakubwa umefaidi nini sasa zaidi ta kupata laana kutembea na wazee afu bado huachi huyo tabia...,mmelaaniwa wote wenye tabia km yako nyie na vizazi vya zinaa mmekuja pasipo mipango ya wazazi ila kwa starehe zao ndo maana mnaleta shida Leo unaona ni sawa kuangalia utupu wa mtu sawa na babako sio peke yako hayo mambo yanatokana na ukoo kurithiana sishangai sana ni tabia za kifamilia zinarithiana km ugonjwa wa kansa na kisukari...,epukeni maana huyo nyie wanawake ambao hamjaingia huyo tabia mnapotea......na bado....,
ReplyDeletemine is loading
ReplyDeletetumsitiri jaman...kah... no one knows the truth...
ReplyDeleteLAKINI UMEFAIDI LAVER 4 MPYA KULIKO KILE ALIKUPA UTUMIE KIKALETA MANENO BORA ALINUNUA KABLA AJAFA MWAYA. AKABAKI NA MADENI MPAKA YAMEMUUA
ReplyDeleteNINI WEWE TULIA SI UNAPENDA UMAARUFU WA KIJINGA WE UNAFIKIRI WENGINE HAWAFANYI ? WANAFANYA LAKINI KWA STAHA ,NYOKOOOO
ReplyDeleteDUUUU HUYU MTOTO ATAWAMALIZA NA MA PRESSURE YAOO
ReplyDeleteKwaiyo huyu nae kaua yeye du mtoto anatisha huyu,wanaume mnaofuata utamu Wake huu malaya mtoto jiandaeni kufa kama wenzenu baada ta kina "mba"what next....,Gerad umemucheki kamamaa wa mambo????kako bomba sema malaayaaa kmelaaniwa kutembea na babu zake....,ndo maana kangekaa tu lupango katauwa wengine.......
ReplyDeletemMMMMMMMMMH APO NAPO ULIKUWEPO MAMA!!!!!!!! POLE
ReplyDelete