Lulu Michael bado pepo la mahaba na Justine Beiber linamtesa,asema haya tena kwenye kurasa yake ya instagram....

Imekuwa sio siri tena Kwa Lulu kuvutiwa kimapenzi na mwimbaji ,wenye asili ya canada anayefanya kazi zake za ki muziki huko nchini marekani, suala la lulu kumzimia jamaa huyu ni miaka zaidi ya mitano sasa na ndilo jambo ambalo team ya Saa mbovu inaona sio la mzaha mzaha hata kidogo mana miaka 5 sasa kauli za lulu zipo pale pale akilia na penzi la beiber!!.

Kipindi cha nyuma mnamo mwezi wa nane tarehe 17 mwaka 2011 mtandao wa blog ya zamaradi mketema uliweka habari hii hapa chini.
Mwaka jana tu tena mtandao wa timesfm.com unaomilikiwa na radio times nao ukadondosha udambwi dambwi huo!! 
Siku nyingine tena mtandao wa bongo5 unaojihusisha na habari za burudani hapa nchini ukafunguka bila hiyana kuhusu saga hili.
 
Hii imefanya Saa Mbovu kufanya kiutafiti kidogo imegundua Lulu kaoza , akajifia na kujizika kabisa kwa kijana huyu mkali wa R&B mana imefikia hatua kaweka nadhiri kabisa kila jumatatu kupitia mtandao wake wa instagram ni spesho post kwa ajili ya justine beiber na jumatatu iliyopita hichi ndicho alicho post.

Huku akiandika "Uliamua kuni follow kwa Hiari Yako....vumilia Na Post Zangu Tafadhali" hii inatoka na wadau ambao ni follower wa kurasa yake kuwa wakichana mbaya kila akitupia vitu vya huyu jamaa kiasi cha kupelekea kuwa ambia watakoma naye na kula sana maliamo kama wanaona kichefu chefu na moyo wake ulipo dondokea!! hahahaha kweli hapa SAA MBOVU ISHAPOTEZA MAJIRA.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ATAFUTAYE HACHOKI AKICHOKA KAPATA!!! ONE DAY YES LULU!!

    ReplyDelete
  2. moyo unapenda ukitakacho......

    ReplyDelete
  3. MALAYA WEWE CKUPENDI KAMA NINI

    ReplyDelete
    Replies
    1. KAKUKOSEA NINI?? MUOGOPE MUNGU WAKO

      Delete
  4. JE ANAITWA JUSTIN BIMBA??? KAMA NI HIVO ATAMPATA ILA ATAMUUA

    ReplyDelete
  5. Na nyie mnaongea upuuzi!! atampata wapi Bieber? kwani yeye Lulu ana uzuri gani wa kumshtua huyu kijana? hizo ni ndoto ambazo haziwezi kutokea, sana sana atajisugua na cucumber kumaliza ndoto zake....acheni kumkuza

    ReplyDelete
  6. Ndoto za mchana, pele sana

    ReplyDelete
  7. Huyo lulu itakuwa mgojwa wa akili si bure

    ReplyDelete
  8. Pua kubwaaaa mxiuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  9. MWAYA IPE NAFSI KITU INAPENDA ONE DAY YES!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad