Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ ametoboa kuwa fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.
Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa
" vitu vya kuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili kumtuliza mwandani wako asikukimbie au kukunyang'anya vitu vyake."
Lulu Michael 'Fedha za KUHONGWA na Wanaume ni Nzuri Lakini Zina PRESHA Kubwa Sana
6
March 15, 2015
Tags
ni vitu vipi hivi mbona unavificha? sema ngono na wewe pia si ushahongwa? tulia
ReplyDeleteNae keshaliwa sana ngono kwani muvi haimlipi
ReplyDeleteHivi kwani ile nyumba yake ya kimara aliijengaje vilee?
ReplyDeleteNa pale anapokaa sasa analipa kodi mwanyewe au kuna mtu/watu wanamlipia kodi ya pango?
Halafu ule usafiri anaotumia je?
We Lulu tutafungukaa..
utakufa wewe afu unategemea nani akulelee wazazi wako na mdogo wako huyoo mtu mwenyewe una mikosi mwanaume akitembea na ww tuu basi kifo cha msogelea yuko wapi kanumba yuko wapi komba
ReplyDeletesio kuliwa tuu ashafilwa sana huyu dem hana mana akajiuze huko
ReplyDeleteMwaka 2014 kipato chake Ni shilling ngapi, kwa akitoshi kukizi lifestyle take??
ReplyDelete