Lulu Michael 'Fedha za KUHONGWA na Wanaume ni Nzuri Lakini Zina PRESHA Kubwa Sana

Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth  Michael, ‘Lulu’ ametoboa kuwa  fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.

Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa

" vitu vya kuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili kumtuliza mwandani wako asikukimbie au kukunyang'anya vitu vyake."

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni vitu vipi hivi mbona unavificha? sema ngono na wewe pia si ushahongwa? tulia

    ReplyDelete
  2. Nae keshaliwa sana ngono kwani muvi haimlipi

    ReplyDelete
  3. Hivi kwani ile nyumba yake ya kimara aliijengaje vilee?
    Na pale anapokaa sasa analipa kodi mwanyewe au kuna mtu/watu wanamlipia kodi ya pango?
    Halafu ule usafiri anaotumia je?
    We Lulu tutafungukaa..

    ReplyDelete
  4. utakufa wewe afu unategemea nani akulelee wazazi wako na mdogo wako huyoo mtu mwenyewe una mikosi mwanaume akitembea na ww tuu basi kifo cha msogelea yuko wapi kanumba yuko wapi komba

    ReplyDelete
  5. sio kuliwa tuu ashafilwa sana huyu dem hana mana akajiuze huko

    ReplyDelete
  6. Mwaka 2014 kipato chake Ni shilling ngapi, kwa akitoshi kukizi lifestyle take??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad