LULU Michael na Madai ya Kulipwa Mil.15 Kwa Kucheza Movie Moja


Sidhani kama kuna producer apa bongo mwenye kifafa cha akili, ambaye ataweza kumlipa LULU mil 15 kwa movie moja tu. Ki Ukweli  hakuna movie yeyote aliyowahi kuigiza LULU na kuweza kuvunja rekodi ya mauzo kuliko filamu nyingine yoyote hapa nchini na kuweza kuwashawishi ma producer kuweza kumtumia kwenye movie zao ata kwa dau la mil 5 tu.

Nina uhakika LULU anaweza kuongoza kwa mauzo ya magazeti ya udaku apa nchini, ila sio kwenye filamu za kibongo, huo ndio ukweli.

Siwezi kumlipa Shamsa ford (CHAUSIKU) laki Mbili na nusu kwenye movie ya CHAUSIKU then nikamlipe LULU mil 10 akaigize FOOLISH AGE, that is foolish.

Ni upuuzi kumlipa RIYAMA ALLY laki tatu kucheza filamu ya FUNGU LA KUKOSA nikamlipe LULU mil 6 kucheza movie ya FAMILY CURSE.

Ni laana kumlipa ODAMA (Jennifer kyaka) laki tatu kucheza filamu ya ODAMA ukamlipe LULU mil 8 kucheza movie ya FAMILY DISASTER.

Hakuna awezaye kumlipa NISHA (salma jabu) laki moja na nusu kucheza filamu ya ZENA NA BETINA ukamlipe LULU mil 20 kucheza movie ya HOUSEBOY.

Simaanishi kuwa LULU sio muigizaji mzuri ila kiwango chake kwenye tasnia ya filamu bado sana , she has a long way to go, asifananishe umaarufu Wa kwenye magazeti na mitandao ya kijamii na kiwango cha uigizaji wake kwenye tasnia ya filamu.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu wanapenda kijipandisha ustaa wakati hawafai hata kidogo.. huyu mwanadada anajikuza bila mpango. hizo pesa kaazima ili kujikuza kistaa na kujitafutia umaarufu usokuwa na mpango,,, foolishnesss!!

    ReplyDelete
  2. Muongo huyo bongo ipi??asingejiuza kwa wazee pesa za kuhongwa hizo anajiliwaza kujitoa ufahamu kujisahaulisha mambo yake na "mba"

    ReplyDelete
  3. huyo ni foolishness lve hana hakiri kabisa hata kidogo yeye ajiuze tuu hawezi kufananisha magazeti na move hana kitu yeye ajiuze tuu ndo kitu knachoomfanya aishi daresalam

    ReplyDelete
  4. I agree with you 100%. apeleke uongo wake huko!

    ReplyDelete
  5. KAONGO KWELI HAKA KATOTO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad