Staa aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na makalio yake, Agnes Gerald ‘Masogange’ sasa amepaa kimataifa zaidi na kuwa gumzo hadi Marekani baada ya hivi karibuni mtandao mmoja wa watu maarufu nchini humo kumpa shavu.
Masogange aliripotiwa na mtandao wa Media Take Out na kumuelezea kuwa ni staa mwenye makalio makubwa barani Afrika akitokea Tanzania.Mbali na maelezo kibao ya kusifia wowowo lake, mtandao huo uliposti picha kibao za mwanadada huyo ambaye sasa anaishi Afrika Kusini akiweka mapozi tofauti ya kimitego.. Baada ya Mtandao huo Mkubwa kumuandika Mitandao mingine mikubwa ya Nigeria Kama Aquavibes nao walimuandika
Hata hivyo, baadhi waliponda maelezo hayo kwa kusema kuwa, Afrika ina mabinti wenye maumbo tata kuliko Masogange hivyo mtandao huo ungefanya uchunguzi kabla ya kuripoti habari hiyo.
Makalio Makubwa Yampaisha Chat Agness Masogange Marekani na Nigeria..
4
March 13, 2015
Tags
Upuuzi mtupu
ReplyDeleteanajua kuosha ilo jikundu vizuri lakini
ReplyDeletekweli upuuzi, kuandikwa kwenye mitanadao au magazetini sio issue, makalio yake yanazidi kudondoka na yanatia kinyaa. hata wewe udaku unaandikwa kwenye mitandao lakini bado uko pale pale hata senti moja haijaongezeka..kwa hiyo acheni mijisifa,,na wewe udaku makalio yako yanazidi kuwa makubwa,, je na wewe unafirisha kama masogange? manake tunazisikia story zake bondeni
ReplyDeleteNa hilo tako lilivyobinuka mwanaume gani atataka atie mbele hapo biashara ni tako tu kwenda mbele kudadeki
ReplyDelete