Mdau: Hawa Ndio Wanawake wa 5 Wanaoongoza kwa Uzuri Bongo Movie

Katika game ya Bongo Movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni :

1.WELU SENGO, 
2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),
3.WEMA SEPETU,
4.ELIZABETH MICHAEL (LULU) 
,5.IRENE UWOYA.

Orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.

By Iron Finger on JF

Na wewe kama mdau una nafasi ya kutuandikia chochote kinachohusu Bongo Movies na sisi tutakileta hapa. Karibuni huu ni uwanja wenu wakufunguka kuhusu tasnia ya filamu hapa Bongo.Vigezo na masharti huzingatiwa.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nafikiri umesahau kitu kimoja ambacho ni muhimu nacho ni WHAT ABOUT THEIR CHARACTER?

    ReplyDelete
  2. Irene Uwoya is the super beauty

    ReplyDelete
  3. Uwoyaa namba1

    ReplyDelete
  4. Wema sepetu umebugi hana uzuri wowote angalia lile komwe utafikiri watoto waliozaliwa miaka ya 2000,yaani kiuchwani kwako kuna mzunguko wa 2.Sasa huo ni nuzuri gani?
    Yeye ni mrembo tuu kwavile urembo na uzuri ni vitu vinavyokwenda perpendicular!

    ReplyDelete
  5. Uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia wahenga walisema

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad