MTAZAMO:Diamond Platinumz Huna Uwezo ni Promo Zinazokubeba Katika Muziki

Diamond Platnumz
Diamond ni moja ya wanamziki wanaojulikana lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa hajui kutunga nyimbo nzuri na zenye mvuto nyimbo zake za kawaida sana mfano.

Nitampata wapi halafu ukisoma jina lake tu unajua ameongelea nini, hazimpi changamoto msikilizaji. huyu Diamond anabebwa sana na promo na ndio maana anatumia gharama kubwa kufanya promo huku akitumia gharama ndogo kutunga nyimbo,ajaribu kumuiga King Kiba.

Written By Lukelo Sakafu-JF

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KAJAMBE MBELEE UKO Lukelo Sakafu-JF MFYUUUUU

    ReplyDelete
  2. pumbav wew umetumwa nn jinga aliyekuambia upost ujinga nan kwa taarifa yenu hashuki ngoo yn ndo mnampandsh xax nd post gn hy au mb 8 kwendaaaaaaaa tuachie chibu wetu kenge ww

    ReplyDelete
  3. Kiba yupi wazamani au wa sasa?maanakiba waleo hana uwezo tena

    ReplyDelete
  4. Wivu uo..tumia na wew nguvu nyingi ubebwe na prom uwe maarufu kama yeye

    ReplyDelete
  5. HAJUI KUTUNGA WALA KUIMBA AKAJAMBE MBELE

    ReplyDelete
  6. Wabongo tuna roho mbaya sana mtu akifanikiwa roho zina washa

    ReplyDelete
  7. Lazima ujue kutofautisha we bwege, kati ya biashara na burudani!

    ReplyDelete
  8. huna vtu vya kupost umeishiwa,

    ReplyDelete
  9. Mitanzania ina wivu wa kijinga hata nyekundu wanasema nyeusi!

    ReplyDelete
  10. DAH! JAMAA ANA WIVU MCHAFU SANA. HAO WENGINE WAAMBIE WAPINGE NAO PROMO YA NGUVU!!!

    ReplyDelete
  11. UDAKU MTAZAMO WENU NI HASI SIO CHANYA!!!. IVI MNAJUA NYIMBO NZURI KWELI NYIE AU MNAROPOKA TU??..IVI KUNA MTU ANAWEZA KUFANANISHA MAGOROFA NA MAPENZI HAMUONI KAMA NI MAIGIZO?.HUU NI WAKATI WA KUONGELEA REALITY NA MAMBO AMBAYO WATU HUKUTANA NAYO KILA SIKU KTK JAMII HUYU KIBA NI KWELI ANA SAUT NZURI ILA DIAMOND ANA TONE NZURI NA NI MFANYABIASHARA,MPAMBANAJI NA FEDHA ALIZONAZO HARIDHIKI ANACHAPA KAZI.EBU IFIKIE WAKATI TUKUBALI UKWELI KWAKUWA HAWA WOTE NI WASANII WAKUBWA TUNAPASWA KUWASHAURI WAMALIZE TOFAUTI KAMA TUNDA NA MATONYA THEN WAPIGE KAZI MOJA WATAKWENDA MBALI ZAIDI.

    ReplyDelete
  12. Hacheni roho mbaya nyinyi na kuandika upuuzi hashuki umetumwa na ruge mutahaba nini kiba akaimbe kaswida

    ReplyDelete
  13. Huo ni mtazamo tu wa mtoa post, nyie wasenge mnashindwa kuchangia kujibu hoja, sio kutukana, acheni udwanzi

    ReplyDelete
  14. NAWE FANYA PROMO YA NGUVU TUKUONE!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad