Mtazamo:Ukistaajabu ya Kajala na Wema, utayaona ya Wastara na WolperJack

Jack wolper na Wastara Juma
Kweli nimeamini samaki mmoja akioza wote huoza, hadi wewe wastara? Hukumbuki wolper alivyohangaika na marehemu mume wako? Dada wa watu akajitolea mamilion ili mume wako akatibiwe India? Umesahau wema wote hadi ukalia nachozi na kumuona wolper ni Mungu mtu?

Pesa tu ndio zinakutoa utu na kukufanya uumize moyo wa mwanamke mwenzio aliyejitolea wakati una shida ili aokoe maisha ya mume wako kipenzi japokuwa haikuwezekana (Mungu ailaze roho ya marehemu peponi ), inasikitisha na kuumiza sana, kuna watu wa kufanya huu unyama ila sio wewe wastara.

Unadhani wolper atakuwa anakufikiliaje? Achilia mbali mapungufu yake mengine, ata kama waliachana haileti picha nzuri kuwa na mahusiano na ex wa wolper, bora angefanya mtu mwingine lakini sio wewe, hakuna mtu unayepaswa kumheshimu kama wolper, ni kama ndugu yako.

Mbaya zaidi huyo Mchumba wako ambae mnadai mnataka kuoana anamtolea maneno machafu wolper eti alikuwa anapiga sana mzinga anaomba mpaka elfu 20 na ana tabia chafu, ivi unajisikiaje? Ila kumbuka muosha huoshwa.

By Warumi-on JF
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli mdau ulichonena ni Kweli

    ReplyDelete
  2. Dada wastara unatuangusha mimi nlidhani wewe ni mtoto wa kiislamu walau utakua na stara kama jina lako mbona unajichafua isitoshe kwani lazima umchukue mume wa huyo dada aliyejitolea kuokoa ndoa yako? Da matapishi aloacha mwenzio wewe umeona keki? TUlia jiheshimu basi yani mwanamke huna haya kabisaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. WANGAPI WANAONA MATAPISHI KEKI WHY NOT WASTARA???HUJASIKIA WEWE UKISEMA WA NINI WENZAKO WANASEMA UTAMPATAJE??? WASTARA KULA KITU ROHO INAPENDA ACHANA NAO HAO !!! SIO WA KWANZA WEWE KULA MATAPISHI MBONA WENGI TU!!!!

      Delete
  3. NA WEWE KUSEMA MTOTO WA KIISLAMU UNA MAANISHA NINI?? ACHA HIZO !!! UBAGUZI KWA KIJINGA HUO

    ReplyDelete
  4. Haijakaa sawa hiyo mtu wangu Wastara!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad