Jack wolper na Wastara Juma |
Pesa tu ndio zinakutoa utu na kukufanya uumize moyo wa mwanamke mwenzio aliyejitolea wakati una shida ili aokoe maisha ya mume wako kipenzi japokuwa haikuwezekana (Mungu ailaze roho ya marehemu peponi ), inasikitisha na kuumiza sana, kuna watu wa kufanya huu unyama ila sio wewe wastara.
Unadhani wolper atakuwa anakufikiliaje? Achilia mbali mapungufu yake mengine, ata kama waliachana haileti picha nzuri kuwa na mahusiano na ex wa wolper, bora angefanya mtu mwingine lakini sio wewe, hakuna mtu unayepaswa kumheshimu kama wolper, ni kama ndugu yako.
Mbaya zaidi huyo Mchumba wako ambae mnadai mnataka kuoana anamtolea maneno machafu wolper eti alikuwa anapiga sana mzinga anaomba mpaka elfu 20 na ana tabia chafu, ivi unajisikiaje? Ila kumbuka muosha huoshwa.
By Warumi-on JF
Kweli mdau ulichonena ni Kweli
ReplyDeleteDada wastara unatuangusha mimi nlidhani wewe ni mtoto wa kiislamu walau utakua na stara kama jina lako mbona unajichafua isitoshe kwani lazima umchukue mume wa huyo dada aliyejitolea kuokoa ndoa yako? Da matapishi aloacha mwenzio wewe umeona keki? TUlia jiheshimu basi yani mwanamke huna haya kabisaaaaa
ReplyDeleteWANGAPI WANAONA MATAPISHI KEKI WHY NOT WASTARA???HUJASIKIA WEWE UKISEMA WA NINI WENZAKO WANASEMA UTAMPATAJE??? WASTARA KULA KITU ROHO INAPENDA ACHANA NAO HAO !!! SIO WA KWANZA WEWE KULA MATAPISHI MBONA WENGI TU!!!!
DeleteNA WEWE KUSEMA MTOTO WA KIISLAMU UNA MAANISHA NINI?? ACHA HIZO !!! UBAGUZI KWA KIJINGA HUO
ReplyDeleteHaijakaa sawa hiyo mtu wangu Wastara!
ReplyDelete