Mvua ya Mawe Yaleta Maafa Makubwa Mkoani Shinyanga Watu 35 Wafariki Dunia

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Poleni wahanga wote. Waliotangulia mbele R.I.P.

    ReplyDelete
  2. POLENI SANA NDUGU ZETU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad