Mwanamuziki TID Azidi Kukumbwa na Pepo la Kupiga watu Ovyo, Sasa Amgeukia Meneja Wake na Kumpa Kichapo

TID
Wiki iliyopita taarifa za Mwanamuziki TID kumpiga mtu migumi kwa kosa la mtu huyo kupaki gari sehemu ambayo yeye huwa anapaki gari kusambaa mitandaoni leo limekuja jipya la Mwanamuziki huyo kumpiga Meneja wake Anaitwa Tall Myama...

Hajajulikana nini Sababu ya kichapo hicho ila walio shuhudia wanasema TID alimkuta Meneja wake huyo akistarehe pale Element Club na kuanza kumchapa Vibao....Baada ya tukio meneja huyo alikimbulia polisi na kumshitaki ....

Je una maoni gani kuhusu TID ?
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AKAOMBEWE HUYO KUNA ROHO YA MAUTI INAMSUMBUA..........

    ReplyDelete
  2. HUYU AMEPAMISS SEGEREA !!!

    ReplyDelete
  3. Ana uhuni wa kizamani

    ReplyDelete
  4. TID needs sychological help very very urgently before it's too late because the boy is completly frastrurated 'n' sychological sick he doesn't know what he's doin' "PLEASE HELP HIM OUT OF THIS SH*T"

    ReplyDelete
  5. NI BANGI TU ZIMEMZIDIA ANAZIVUTA BILA YA KULA!

    ReplyDelete
  6. MPELEKENI KWA GWAJIMA AKAOMBEWE!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad