Mzee wa Upako: (Wakristo)Wasioenda Kanisani Jumapili ni Mafala na Mabwege

Nimemfatilia channel ten wakati akiongoza ibada huku akishangiliwa na mamia ya waumini wake.. Kati ya mambo yaliyonistaajabisha ni lugha ya matusi.

Anasema habari ya mjini kwa sasa ni kusali.. Ila anamalizia kwa kuwaambia vijana wanaosema kila siku ni yale yale kanisani kwamba ''ibada haifanani acha ufala''.

Hili neno ufala ni tusi au mi ndo sijui kiswahili...?

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Najua ni kwasababu ya kuendesha ibada kishaji, na kudhani kwa kutamka hivyo ataonekana kwa mjini kumbe ni kujidhalilisha. I was so surprise, kuona mtumishi wa Mungu kutamka maneno yasiyokuwa na Busara.Hapo Alikosa Busara saaaaaaaana tu.Mungu atusaidie sana.

    ReplyDelete
  2. watu kama hawa ndiyo wanatufanya tusiende hata huko makanisani, sasa mchungaji gani huyu anaongea hivi.

    ReplyDelete
  3. HEEE!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. MZEE OMBA REHEMA KWA MUNGU KAMA UMETAMKA MANENO HAYO!! DAH MATUSI KANISANI? TUNAENDA WAPI JAMANI??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad