|
Nay wa Mitego na Mtoto wake |
Nay wa Mitego Amesikitishwa na Kauli ya Mzazi mwenzake SIWEMA ambaye wamezaa naye mtoto kwa kusema kuwa mtoto huyo si wa kwake bali ni wa aliyekuwa Mpenzi wake wa zamani Obasanjo...Japo Wahenga wanasema Kitanda hakizai Haramu Nay wa Mitego amehabari kuwa yupo Radhi kupima DNA ili kubaini kama mtoto ni wake ama la?
Unamshauri nini Nay wa Mitego?
Du aibu gani hii
ReplyDeleteMWENYEWE MCHAFUZI SANA WA MABINTI!!!ACHA AONYESHWE JINSI INAVYOUMA. UTAZALISHA WANGAPI NA KUWAACHA!!!
ReplyDelete