Nay wa Mitego Ashtushwa na Kauli ya Siwema Kuwa Mtoto si Wake..Aamua Kuchukua Maamuzi Magumu kudhibitisha

Nay wa Mitego na Mtoto wake
Nay wa Mitego Amesikitishwa na Kauli ya Mzazi mwenzake SIWEMA ambaye wamezaa naye mtoto kwa kusema kuwa mtoto huyo si wa kwake bali ni wa aliyekuwa  Mpenzi wake wa zamani Obasanjo...Japo Wahenga wanasema Kitanda hakizai Haramu Nay wa Mitego amehabari kuwa yupo Radhi kupima DNA ili kubaini kama mtoto ni wake ama la?

Unamshauri nini Nay wa Mitego?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Du aibu gani hii

    ReplyDelete
  2. MWENYEWE MCHAFUZI SANA WA MABINTI!!!ACHA AONYESHWE JINSI INAVYOUMA. UTAZALISHA WANGAPI NA KUWAACHA!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad