Now We Are Here!!.....Wema SepetuTeam Will Faint After Seeing This photo of Kitumbo
25Udaku SpecialMarch 03, 2015
Someone Sent this picture of Zari the Lady Boss looking so pregnant to me this Morning with the Below Caption ...
Now we are here!!.....Wema and Penny will faint after seeing this photo....
Inshallah haitokuwa kudhalilishwa .na inshallah mwenyezi mungu amjaliye ajifunguwe salama kisha mnaka mnaisabiya myezi miwili akipo waonesheni picha watu wako pamoja kitambo toka bado yupo na wema nyiye mkae mna isabu november labda ni november ya 2013
watu mnapata tabu sana, hivi nikitu gani hili shamba la bibi (wema) limewapa mpaka mnajifari hivo? et wema na penny hawaumii, hawaumii!!!!! hahahahaaaa mnachekesha sana
Mkae mkijua kuna mimba feki pia miezi tisa milioni moja miezi miwili laki tatu wachina wapo vizuri sidhani kama kitakua kimekua hivyooo loh Dangote pole mweeh rudi kigoma umtafute mke jamani
TAZAMA PICHA IELEWE VZR JUA NI YA KIPINDI GANI THEN COMMENT!! HII PICHA SI YA UJAUZITO WA SASA ALIONAO! KUMBUKEN MADAM ZARI ALISHAZAA HII NI PREVIOUS PREGNANT!
Jamani mnao shabikia kunamimba feki au sijuhi nini hivi kati yetu kunaanayejua hawa wawili mahusiano yao yalianza lini? mambo ya ngoswe tumwachieni ngoswe mwenyewe
kila jambo la heri uenda kwa heri sasa wakioana je? msimjaji mtu na yaliyopita hamuwezi jua labda mwenyezi mungu uko kwingine alikopita haikuwa riziki kuzaa nao uku kwa Zari ndiko alipopangiwa uzazi wake.sisi tumtakie kila la heri ndg yetu na mwenyezi mungu amjalie wasiishie kuzaa tu wafunge na ndoa ili wampendeze Allah na kuachana na udhinifu
Photoshop n bullshit!!mimba inakuwa haraka kama ya panya?
ReplyDeletekauziwa mbuzi kwenye gunia Domo, aendeleee kujitapa tuu iko cku atakumbuka maneno ya waganda.
ReplyDeleteDU! HII MIMBA YA ALMASI AU YA IVAN. NIMEANZA KUWA NA WASIWASI. NAANZA KUAMINI MANENO YA WATU.
ReplyDeletesidhani kama Wema au Penny wanaumia na hii kiki. walijua mapema hakuna kuolewa ni kuzalishwa than kuaibishwa, tunasubiri habari muda si mrefu.
ReplyDeleteInshallah haitokuwa kudhalilishwa .na inshallah mwenyezi mungu amjaliye ajifunguwe salama kisha mnaka mnaisabiya myezi miwili akipo waonesheni picha watu wako pamoja kitambo toka bado yupo na wema nyiye mkae mna isabu november labda ni november ya 2013
ReplyDeletethat is not mimba inakuwa kama mti bhana ni kutafuta kiki tu,tuache na WEMA WETU MJINI.
ReplyDeletewatu mnapata tabu sana, hivi nikitu gani hili shamba la bibi (wema) limewapa mpaka mnajifari hivo? et wema na penny hawaumii, hawaumii!!!!! hahahahaaaa mnachekesha sana
ReplyDeleteWabongo acheni ushamba bado munaendeleza mambo ya kizamani yamepitwa na wakati, fanyeni kazi muingize pesa
ReplyDeleteYawezekana kuna mtu ana pump hili tumbo na ikifika mwezi wa tano wa hii mimba Domo anakua baba.
ReplyDeletehahahha pole domo chai jaba
ReplyDeletediamond changa la macho isiii au walianza kitambo
ReplyDeleteMkae mkijua kuna mimba feki pia miezi tisa milioni moja miezi miwili laki tatu wachina wapo vizuri sidhani kama kitakua kimekua hivyooo loh Dangote pole mweeh rudi kigoma umtafute mke jamani
ReplyDeleteTAZAMA PICHA IELEWE VZR JUA NI YA KIPINDI GANI THEN COMMENT!! HII PICHA SI YA UJAUZITO WA SASA ALIONAO! KUMBUKEN MADAM ZARI ALISHAZAA HII NI PREVIOUS PREGNANT!
ReplyDeleteHIII SIO PICHA YA ZARII JAMANI IMETENGENEWA HAMUONI TU HUO SIO MKONO WA ZARI . WABONGO ACHENI HIZO VIBAYA JAMANI
ReplyDeleteHahahahaaaaa eti Wema na Penny watalia, walie kwani wameolewa nae ukewenza? Huyo Diamond hajamuoa Wema, Penny wala huyo Zari sasa walilie nini kusema mke mwenzao kabeba mimba wao hawana? Hovyooooo!
ReplyDeleteJamani mnao shabikia kunamimba feki au sijuhi nini hivi kati yetu kunaanayejua hawa wawili mahusiano yao yalianza lini? mambo ya ngoswe tumwachieni ngoswe mwenyewe
ReplyDeletekila jambo la heri uenda kwa heri sasa wakioana je? msimjaji mtu na yaliyopita hamuwezi jua labda mwenyezi mungu uko kwingine alikopita haikuwa riziki kuzaa nao uku kwa Zari ndiko alipopangiwa uzazi wake.sisi tumtakie kila la heri ndg yetu na mwenyezi mungu amjalie wasiishie kuzaa tu wafunge na ndoa ili wampendeze Allah na kuachana na udhinifu
ReplyDeleteHiyo picha ni mojawapo ya picha za mimba zake za zamani
ReplyDeletepengine ni picha ya zamani lkn kama ni hii ya domo.....aaaahhhh kasingiziwa mimba gani inakua km unga wa maandazi ulowekwa hamira
ReplyDeletedomo anakuwa cheated by huyo manzi...mimba haiwez kuwa haraka kiasi hiyo...
ReplyDeletewatoto wa cku hzi nuksi& mnazaa hadi na wazee ambao vzazi vmeshalegea! pole sana dangode sio akili yako umepewa shuntama la kiganda. zari ni bibi!
ReplyDeleteHii mimba ni yazamani Kati yawatoto wake mmoja, hamuoni hata hilo too lamiaka hiyo. Mimba sio ya sasa jueni kusoma picha.
ReplyDeleteWAAAMBIE HAO WAMBEA MAANA HATA SURA IPO TOFAUTI NA SASA HATA MWILI UPO TOFAUTI NA SASA. MTAKUFA KWA VIJIBA VYA ROHO
ReplyDeleteWAPE WAPE WATAKUFA NA VIJIBA VYA ROHO!!
DeleteWAJINGA KABISA ZARI ANAONEKANA MDOGO TU HAPO ICHA YA ZAMANI KABISA
ReplyDelete