Nuhu Mziwanda Amshukuru Shilole Kwa Kumpandisha Ndege Kwa Mara ya Kwanza..

"My best #Tbt kwa mara ya kwanza napanda ndege asee na Alienitoa ushamba ni baby wangu mwenyewe japo kazaliwa igunga na mimi mtoto wa dar lakini kanipandisha ndege ahahaha ...Usimdharau Mtu katika maisha #TBT" Nuhu Mziwanda

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani kupanda ndege ni ufahari?

    ReplyDelete
    Replies
    1. SIO UFAHARI LAKINI TUKUBALI TUKATAE NI WACHACHE SANA TANZANIA WANAOPANDA NDEGE!!!MIYE NAONA ALICHOSEMA NI SAWA KABISA.

      Delete
    2. KIUKWELI WENGI WAMEPANDA NDEGE KWA UJIO WA FASTJET.

      Delete
  2. Replies
    1. SO OVYO KWA NCHI YETU KUPANDA NDEGE NI UFAHARI UTAKE USITAKE!!!

      Delete
  3. Umario ni shida mjini mtoto mdogo una mikono na macho unashindwa kujishughulisha ndiyo maana mnalala na mama zenu kwa kupenda starehe nyau we

    ReplyDelete
  4. Safari hii atakutafutia watu wakubandue kabisa,mwanaume kama binti

    ReplyDelete
  5. hhaha mziwanda bhanaa ndege tushafanya daladala za kaliakoo wengneee

    ReplyDelete
  6. Mpuuzi kabisa ndo tatizo la kutojitambua

    ReplyDelete
  7. Uyu kijana bado ajajitambua, bado ni motto, pili anadhani akiongea hivo in public Jina lake linakua. Akishika zakutosha uyu ajipevuka atabadilika atatafuta watoto wenzie TUSUBILI.

    ReplyDelete
  8. Huyu bora comment aongee na bibi yake, mara aseme kupigwa na kupigwa na mpenzi wako ni mapenzi, sasa anasema anashukuru kutolewa ushamba, wewe kijana bado kwanini unakata tamaa una maisha marefu mbele yako M/Mungu akikupa umri hakuna anaejua ya baadae inabidi ustrugle kutafuta siyo unakuwa kama handbag ya mpenzi wako utalemaa ndiyo maana anakupiga makofi kama mtoto mdogo.

    ReplyDelete
  9. huyu dogo fala sana.. u mario si mzuri, ndege unaweza kupana kwa elfu 48 sasa huo ndo unauona muujiza???' acha upumbavu jitaidi fanya kazi weka mipango vizuri kuwa mwanaume ndo maana huyo dem anakuzalilisha kila siku

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad