Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema uchaguzi wa Rais ajaye utakuwa na ushindani mkubwa ndani na nje ya CCM, huku akibainisha kuwa haogopi mtu kati ya wote wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro hicho, bali anawaheshimu.
Lakini mbunge huyo wa Singida Kaskazini amesema mgombea pekee atakayemwogopa ni yule atakayekuwa anataka kulipiza kisasi dhidi ya wagombea wengine.
Waziri huyo alitoa kauli hiyo jana wakati alipofanya ziara kwenye makao makuu ya Ofisi za Mwananchi Communications inayozalisha magazeti ya The Citizen, Mwananchi na Mwanaspoti zilizoko Tabata Relini kando ya Barabara ya Mandela.
MBONA UNAANZA KUJISHUKU KULIKONI????
ReplyDelete.. anajishuku vp? jama is better than ma mvi
ReplyDeleteMAPEMA SANA KAKA NYALANDU
ReplyDeleteUmuogopi mtu kwani ugomvi!
ReplyDeletehamna kitu hapa, akagombee uraisi anaoutaka jimboni kwake singinda!
ReplyDeleteMWANGALIE KWANZA ALIVYO NGANGANIA ETI SIMUOGOPI MTU, HIII NCHI SI YA MTU MMJA AU JESHI MOJA, NI DEMOKRASIA, KAMA HATUKUTAKI UTATULAZIMISHA, TUNAJUA WAPO WANAOKUTAKA, NA WENGINE HMMM TUNA WALAKINI NA WEWE, TUMESCHOKA NA UFISADI, WIZI RUSHWA, MAENDELEO HAKUNA, MTU KAMA WEWE NDIO WALE WALE
ReplyDeleteMbona mawazo yote ikulu au ndio, ukatuibie vizuri wadanganyinga, maanake watu wanawaza kutajilika na kuishi maisha ya juu,
ReplyDelete