Nyota ya kijani yaniharibia ndoa, Sina Hamu na Tendo la Ndoa Tena..Ushauri Please

Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa tatizo ni kuwa sina hamu tena na tendo sina kabisa sijisikii chochote nikiwa uwanjani kwa fundi selemara!
Nimeweka kijiti, je nifanyeje maana naona mwenzangu anakereka! Nitaweza kurudi kwenye hali ya kawaida hapo baadae au ndio basi tena hadi nitakapoenda kukitoa?

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. one of the side effects of contraceptives(imprants) is loss of libido...mi nakushauri uende ukavitoe kwani vinaweza kuharibu ndoa yako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad