Video ya Ommy Dimpoz na Wema Sepetu Iliyoleta Ngumzo Hii Hapa..Wanjera

Ommy Dimpoz na Wema Sepetu walichukua headlines kwa zaidi ya mwezi mmoja kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa picha zenye utata zikiwaonyesha wakiwa mapenzini na ikapelekea watu kujua labda Ommy ameamua kurithi kiti cha Diamond Platnumz.
Kumbe bwana ilikua ni video mpya ya Ommy aliyokwenda kuifanya South Africa na imemuhusisha Idriss wa BBA pia, itazame hapa chini alafu uniachie comment yako umeionaje mtu wangu, uigizaji wa Wema, Idriss na idea nzima ya video.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Video quality nzuri wimbo mmh!

    ReplyDelete
  2. Kanywe cm kama hujapenda au kanye mavi uchungu uishee huo ndo wivu utajibeba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani lazima kila mtu aupende huo wimbo? Video nzuri wimbo mbaya

      Delete
  3. Poa kaka Ommy.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad