Mwigizaji Kajala na Producer P-Funk Majani Warudiana Sasa Mapenzi Upya

Mwigizaji wa Kike Kajala Masanja Mwenye ugomvi na Wema sepetu Baada ya Kuchukuliana Mabwana inasemekana kwa sasa ameamua kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Producer P-funk Majani ...Ambae ni Baba wa Mtoto wake Anayejulikana kama Paula....

So cute Jamani ..Tunzeni Mtoto sasa!!

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMMM P SI MUME WA MTU KWA SASA??

    ReplyDelete
  2. Umechemka ka kinyesi cha uhindini mwandishi na Kama umetumwa kafie baharini. Pfunk an mke mrembooo na majuzi kamzalia kifaa cha pili tena ulaaniwe kwa uongo.

    ReplyDelete
  3. Kajala si una mume jela?

    ReplyDelete
  4. UDAKU WACHONGANISHi!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad