Picha: Wema Sepetu Akiwa na Idris Wakifanya ‘Shopping‘




Hizi ni baadhi ya picha za Staa mrembo kutoka Bongo Movies , Wema Sepetu akiwa pamoja na mshindi wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakifanya manunuzi kwenye moja ya supermarket hapo bongo.

Wawili hawa wameonekana kuwa ni watu wa karibu sana sio tu kwa muonekano wa picha hizi bali hata kwa maneno ya wema wenyewe, kwani kwenye picha hiyo hapo juu Wema aliandika maneno haya;

“Feels good wen you go to a store and u get everything u can think of.... Oh it feels better when u gat da right person beside u to shop with...”

Hapo Wema anaonyesha kufurahia ‘kampani’ ya jamaa (Idris).  Mengi yameongelewa sana kuhusu picha hizi lakini kiufupi mimi naona wametokelezea poa sana ila kuhusu kama ni Le project au laa mimi sijui, jionee mwenyewe hapo juu.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ANAMPUNGA MISSHAHARA, IKIISHA ANSEPA

    ReplyDelete
  2. MSHAHARA UNAMPA WEWE? FUNZA TU KICHWANI.

    ReplyDelete
  3. Kazi yake kukamatiakamatia tu huyo wema mara dimpoz mara ivan na sasa idriss na mkono kwapani hata haya haoni kaishiwa huyoooooo mwehu bado na mimi sasa.

    ReplyDelete
  4. Ukimwi umeisha duniani that is breaking news

    ReplyDelete
  5. She is after money Gold diger

    ReplyDelete
  6. DAH DAH DAH DAH DAH DADA UNATISHA!!!!!!WE MKALI KWELI!!!

    ReplyDelete
  7. Mburullaz na Division 7 utawajua tu, hivi nani mwenye akili yake timamu amlipe mpiga picha mwenye pesa ndefu kama Iview studio kwenda kufanya shopping? Hicho tu hakiwezi kufungua ubongo wenu mkaona kuwa hayo ni matangazo ya biashara? Hovyooo wenzenu washatengeneza pesa huko Uchumi wewe Udaku sijui umelipwa nini na tangazo la biashara umeliweka halooo! Na nyie nendeni Uchumi mkazungushe gurudumu la bahati nasibu labda mnaweza ambulia bidhaa ya bure.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad