Wema Sepetu |
Hivi karibuni Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, walipata shavu la kutengeneza tangazo la gari hilo jipya ambapo kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.
Katika Hatua Nyingine Mashabiki wake wamefurahishwa na Jinsi Wema Anavyojituma kwa sasa kwenye Kazi mbalimbali Kwa kutumia Jina na Umaarufu wake kujiongezea kipato tofauti na alivyokuwa na Diamond..
Hongera sana Wema na team yako kutoka Endless Fame
Nakupenda sana Wema, ongeza bidii katika kazi.ulikuwa unamsaidia sana Domo, lakini hakuiona thamani yako. Mungu kakuepusha na mengi.
ReplyDeletesas huyo Ney si ndo alimwambia Almasi asikuoe? mbona yeye kamuacha Siwema tena kwa kashfa na kuambiwa mtoto si wake. malipo hapa hapa duniani, bado tunasubiri mimba ya kwenye mitandao siku wakigombana Bakuli ataambiwa mtoto wa Kijiko.FANYA WEMA, KUWA KAMA SEPETU.
ReplyDeleteYESSSSS, MAA WEMA ACHANA NA VISERENGETI BOY VINATAFUTA UMAARUFU TU, ENDELEA NA MAISHA IKO CKU WATAJUA MAHARANGE SI MBOGA.
ReplyDeletePendeza sana my Wema, mola azidi kukufungulia milango ya kheri kwa roho yako nzuri.
ReplyDeleteIsn't pathetic on how we waste so much time on certain people and in the end they prove that they weren't even worth a second of it.
ReplyDeleteThat's the fact
DeleteWe learn through mistake
DeleteHaha haha eti mastaa wenye ushawishi mkubwa?I can understand millard,lakini huyo kicheche ushawishi gani alionao wa ukicheche ?
ReplyDeleteYote mnazungumza kwani -
ReplyDelete-diamond alimziwiya wema asifanye kazi
-diamond alumwambiya ahongwe magari
-diamond alimwambiya kwenda kulewa hovyo
-diamond aljmwanbiya kutwa kwenye vigodoro
-muulizeni kama kwelu diamond hajampa kila kitu alikuwa anahitajiya vyote amevitowa wapi
-kabla yakumtupiya diamond lawama kwanza kaeni chini tizameni kipindu chake cha in my shoe majivu yote mtayakuta kwenye hicho kipindi
-kisha mimba ya zari jnahusu nini na wema zari kamchukuwa diamond wakati yupo single hajamtiwa kw wema
-
Huna ujualo B4 Bithday ya Wema, Diamond na Wema walikuwa wakisumbuana. kitambo Wema aseme amempa likizo alikuwa ashashindwa na Diamond so usione wa2 hawaelewi kilokuwa kikiendenlea nyuma ya Pazia.
DeleteKiswahili kinakusumbua kidogo manake hatuelewi unaandika nini
ReplyDeleteWACHA KUROPOKA KAMA UNANJAA, DIAMOND ALIMFANYA WEMA MAMA WA NYUMBANI NA AMUANGALIE BI SANDRA, HUONA TOFAUTI YA SASA AU HUNA MACHO NA AKILI MGANDO, WANGAPI WANAMIMBA ILA YA HUYO BI KIZEE 41+ NDO ISSUE? NA BADO WEMA ATAZIDI KUWAAMUZA, HATA AKIWA MLEVI, MALAYA, VIGODORO BUT YAKE YANAMUENDEA NA PESA ANAPATA, JIULIZE WEWE!
ReplyDeleteNA WEWE JE UNAKIASI GANI? MBONA UNALIA LIA OVYO?
ReplyDeletemalaya tu
ReplyDeleteWA KULIA NI WEWE USOJIJUA, MCHANA NA USIKU UNAANGAIKA KUMTAFUTA WEMA, PA KULALA HUNA PAKULA JE? MALAYA ALIANZA ADAM NA EVA ITAKUWA WEMA? MUULIZE BIBI YAKO NA UKOO WAKO KWANZA.
ReplyDeleteJamani hapa anapongezwa Wema mengine ya nn
ReplyDeleteBIG UP MISS SEPETU!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete