Picha: Wema Sepetu Kwenye Uzinduzi Rasmi wa Mitsubishi ASX, Mashabiki Wake Wampongeza



Wema Sepetu
Hizi ni baadhi ya picha  za mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu hapo jana usiku  katika uzinduzi rasmi  wa gari la kampuni ya Mitsubishi aina ya ASX  akiwa kama balozi.

Hivi karibuni Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, walipata shavu la kutengeneza tangazo la  gari hilo jipya  ambapo kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.

Katika Hatua Nyingine Mashabiki wake wamefurahishwa na Jinsi Wema Anavyojituma kwa sasa kwenye Kazi mbalimbali Kwa kutumia Jina na Umaarufu wake kujiongezea kipato tofauti na alivyokuwa na Diamond..

Hongera sana Wema na team yako kutoka Endless Fame

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nakupenda sana Wema, ongeza bidii katika kazi.ulikuwa unamsaidia sana Domo, lakini hakuiona thamani yako. Mungu kakuepusha na mengi.

    ReplyDelete
  2. sas huyo Ney si ndo alimwambia Almasi asikuoe? mbona yeye kamuacha Siwema tena kwa kashfa na kuambiwa mtoto si wake. malipo hapa hapa duniani, bado tunasubiri mimba ya kwenye mitandao siku wakigombana Bakuli ataambiwa mtoto wa Kijiko.FANYA WEMA, KUWA KAMA SEPETU.

    ReplyDelete
  3. YESSSSS, MAA WEMA ACHANA NA VISERENGETI BOY VINATAFUTA UMAARUFU TU, ENDELEA NA MAISHA IKO CKU WATAJUA MAHARANGE SI MBOGA.

    ReplyDelete
  4. Pendeza sana my Wema, mola azidi kukufungulia milango ya kheri kwa roho yako nzuri.

    ReplyDelete
  5. Isn't pathetic on how we waste so much time on certain people and in the end they prove that they weren't even worth a second of it.

    ReplyDelete
  6. Haha haha eti mastaa wenye ushawishi mkubwa?I can understand millard,lakini huyo kicheche ushawishi gani alionao wa ukicheche ?

    ReplyDelete
  7. Yote mnazungumza kwani -
    -diamond alimziwiya wema asifanye kazi
    -diamond alumwambiya ahongwe magari
    -diamond alimwambiya kwenda kulewa hovyo
    -diamond aljmwanbiya kutwa kwenye vigodoro
    -muulizeni kama kwelu diamond hajampa kila kitu alikuwa anahitajiya vyote amevitowa wapi
    -kabla yakumtupiya diamond lawama kwanza kaeni chini tizameni kipindu chake cha in my shoe majivu yote mtayakuta kwenye hicho kipindi
    -kisha mimba ya zari jnahusu nini na wema zari kamchukuwa diamond wakati yupo single hajamtiwa kw wema
    -

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huna ujualo B4 Bithday ya Wema, Diamond na Wema walikuwa wakisumbuana. kitambo Wema aseme amempa likizo alikuwa ashashindwa na Diamond so usione wa2 hawaelewi kilokuwa kikiendenlea nyuma ya Pazia.

      Delete
  8. Kiswahili kinakusumbua kidogo manake hatuelewi unaandika nini

    ReplyDelete
  9. WACHA KUROPOKA KAMA UNANJAA, DIAMOND ALIMFANYA WEMA MAMA WA NYUMBANI NA AMUANGALIE BI SANDRA, HUONA TOFAUTI YA SASA AU HUNA MACHO NA AKILI MGANDO, WANGAPI WANAMIMBA ILA YA HUYO BI KIZEE 41+ NDO ISSUE? NA BADO WEMA ATAZIDI KUWAAMUZA, HATA AKIWA MLEVI, MALAYA, VIGODORO BUT YAKE YANAMUENDEA NA PESA ANAPATA, JIULIZE WEWE!

    ReplyDelete
  10. NA WEWE JE UNAKIASI GANI? MBONA UNALIA LIA OVYO?

    ReplyDelete
  11. WA KULIA NI WEWE USOJIJUA, MCHANA NA USIKU UNAANGAIKA KUMTAFUTA WEMA, PA KULALA HUNA PAKULA JE? MALAYA ALIANZA ADAM NA EVA ITAKUWA WEMA? MUULIZE BIBI YAKO NA UKOO WAKO KWANZA.

    ReplyDelete
  12. Jamani hapa anapongezwa Wema mengine ya nn

    ReplyDelete
  13. BIG UP MISS SEPETU!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad