Sipendi Watu Wanavyoniambia Nina Kalio Fake, Wakati Nimebarikiwa na Mungu

Admin , Sipendi Jinsi watu wanavyonisema kila nipitapo eti makalio yangu ya Mchina wakati mimi nimezaliwa hivyo hivyo toka nikiwa mdogo makalio yangu yalikuwa makubwa , kama unabisha uliza hata nilio soma nao shule ya msingi , Ki kweli sipendi hiyo tabia ya watu kila wakiona mtu amejaliwa basi eti ni fake wengine tumezaliwa hivyo jamani ..Khhaaaa Wabongo Acheni Ushamba

By Camila, Sinza

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe makalio yake umefilisha sana ndio maana yanadondoka

    ReplyDelete
  2. SWADAKTAAAA!!!MDAU WA HAPO JUU UNAONA EH

    ReplyDelete
  3. SWADAKTAAAAA!!!!MDAU WA HAPO JUU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad