Sitta awaonya wasafirishaji wa dawa za kulevya, Adai Sasa Wamebadili Mbinu na Amezigundua

Sitta
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta, amesema hatokubali kuona viwanja vya ndege nchini vinakuwa uchochoro wa kupitishia dawa za kulevya na kwamba atahakikisha usafirishaji wa dawa hizo nchini unakomeshwa kabisa.
Akizungumza katika mahojiano na East Africa Radio muda mfupi baada ya kuongelea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya hali ya hewa, Waziri Sitta amesema hivi sasa wasafirishaji wa dawa hizo wamebadili mbinu na kuanza kutumia njia ya bahari baada ya ulinzi kuimarishwa katika viwanja vya ndege na katika maeneo ya mipakani.....
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Goodlucky in your mission impossible maana vita hivyo vimewashinda nchi zilizo tajiri duniani kudhibiti madawa yasiingie na yanaingia na kutoka katika hizo nchi zao daily sembuse wewe Mr.Sitta?Umesahau yule rafiki mkubwa wa mwanadamu wa kuitwa "RUSHWA"?

    ReplyDelete
  2. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba na baadhi ya viongozi wa serikali wanahusika pia ili kujiongezea mishahara ya kuonga kwenye uchaguzi.. majina yapo na wanatajwa kila siku na wabebaji waliokwisha kamata lakini hawashughulikiwi ipasavyo.. kwa hivyo huyu mzee anampigia mbuzi gitaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad