Staili Mpya ya Nywele ya Wema Sepetu yawa Gumzo Mtandaoni..Wengi Wamsifia Wachache Wasema Haya


 Picha za Wema Mpya Alizoweka Jana kwenye Mtandao wa Instagram Akiwa arusha na Mashabiki wake zimezua Mjadala huko Instagram Huku wengi wakimsifia kwa jinsi alivyopendeza na mkata huo wa nguvu baadhi ya wachache ambao inaaminika ni mashabiki wa Zari walitoa maoni yao na kusema kumbe hata wema hana nywele za mbele kama Zari ...ikumbukwe kipindi cha nyuma Team Wema Sepetu Walikuwa wakimkejeli Zari kuwa anakipara .....

Je Wewe Msomaji Una Maoni Gani ? Angalia Picha zingine Hapa Chini:




Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amependeza sn bt ukwel unabaki kuwa na yeye ana komwe km la zari so awaambie mashabiki wake waache kumtukana zari kuwa ana komwee.

    ReplyDelete
  2. Wema ni mzuri, hata akiwa na komwe au kidonda haipotezi uzuri wake, hao mashabiki ndo wanaotafuta ugonvi... wenyewe hata habari hawana.

    ReplyDelete
  3. Komwe ndio nini kwani Mbona umetuacha

    ReplyDelete
  4. hao wasichana hawana kazi wao kila siku team wema tuu kama awana kazi nipe namba zao adm niwatafute waje waninyoe mavuzi waache kushabikia ugomvi kila siku adi wamevaa ma tishrt yameandikwa wema kweli utumwa bongo umerudi

    ReplyDelete
  5. Acheni kumsifia ujinga jamani, mpeni ushauri wa kufanya mambo yanayolingana na wadhifa ambao waTZ walimpa. Wema jifunde kwa mwenzio Kidoti jamani, hata kwenye tano bora ya ushindani haupo mama? Hebu jitambue Wema jamani. Fanya mambo ya kijamii, umashuhuri upitie katika mambo ya manufaa kwako, kwa taifa na ulimwengu kwa ujumla, upumbavu kila siku. Angalia Ma-miss wenzio wanachofanya mama! Hao Team wanafiki tu ukifulia watalala mbele wote.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad