Sugu: Wasanii hawakunisaidia kupata ubunge, walijipendekeza CCM

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, amesema hajaweza kufanya kitu chochote kuwasaidia wasanii kwakuwa wakati anagombea ubunge hakuna aliyekuwa nyuma yake.

Sugu amelazimika kusema hayo baada ya shabiki kutaka kujua ni kitu gani alichowafanyia wasanii tangu awe mbunge.

“Hao wanaozingua wakamuulize Kikwete studio aliyoitangazia dunia kawapa wasanii iko wapi na kamkabidhi nani,” amehoji Sugu kwenye Instagram. “Rais kashindwa kuwasaidia wanataka kumlaumu mbunge wa Mbeya mjini, wakati hata hao wasanii wenyewe kimsingi hawakutusapoti kwa namna yoyote wakati tunagombea huo ubunge, wote walikuwa wanajipendekeza kwenye kampeni za CCM.”
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nakukubali sana wasaka tonge wameaidiwa studio sasa wanataka wakulilie wewe pumbavu kabisa hao

    ReplyDelete
  2. Sugu hujitambui hayo c majibu ya mtu na heshima zake etii mbunge fyuuuu,ila sababu waliokuchagua wengi ni wavuta bangi na waendesha bodaboda c watu wanaojitambua! akili robo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad