Baada ya Picha za staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa na mshindi wa Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye moja ya supermarket hapa jijini Dar kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zaidi ya moto wa vifuu huku kila mtu akiandika lake kuhusiana na kile alichokiaona, Team Wema waneoneshwa kukerwa na tabia za watu kumzushia Wema kwenye mahusiano.
Licha ya ukweli ni kwamba Wema na Idris wanaonekana kikazi zaidi, yaani ulikuwa ni wito maarumu kutoka kwa wenye supermaket hiyo, watu wengi wameolionekana kupakaza kuwa wawili hao ni Le Project mpya na wengi wakimtupia maneno Wema kuwa hisaa amezidiii na wengine wakimlaumu Idris kuwa ameingia chaka.
Kitendi hiki cha Wema kuzushiwa kuwa na mahusiano na watu ambao anafanyanao kazi kimewakera sana Team Wema na kusababisha timbwili la maneno mitandaoni.
“Imekua kama tabia ya watu ku comment ( yani ndo umeamua kua na wema) ( wema ndo unatoka na huyu) kwa kila mtu anae fanya nae kazi.. Naomba kuwauliza inamana nyie hamuon kama hizo ni kazi?? Mme shindwa tu kwa Millard Ayo na project ya the completePackage kusema anatoka na wema . Watu wameshindwa kutofautisha kati ya X na + ntaomba Diamond awasaidie kuwapa darasa ama ASEME NA NYIYI. Ama nene".
Mmoja kati ya team Wema aliandika mtandaoni.
Team Wema Wakwera na Tabia ya Watu Kumzushia Wema
5
March 30, 2015
Na akomeeeee huyo wema wenu mbona katia mkono kwapani sisi tuelewe vp anajipendekeza huyo mwehu.
ReplyDeletewe idris achana na kina wema hawana lolote focus on your life kumbuka come end of this year tutakuwa na bingwa mpya wa big brother use your fame now to get lucrative endorsements hawa kina wema na uchumi supermarket watakupa how much? tembea africa bado jina lako liko juu . toka bigbrother imeisha umeenda kenya tu go out and get endorsements sioni chochote cha kujaza cv yako cha maana . africa inaangalia unatumiaje ushindi wako makampuni makubwa yanacheck but ww kila cku kwenye functions uchwara . brand yourself and be expensive achana na deal za uchumi na videmu vya bongo. african footballers wanalamba deals ndefu za kuwa mabalozi wa brands africa wkt hata hawako africa je ww. unasema unataka uwemo forbes huwez kwa style hii hata miaka 10
ReplyDeleteWell said......... other than concentrating on cheap local fame, he should go out and make a real use of his one year fame.........
DeleteAction zake anakovo jifanya ndiyo maana watu wanashakiya laa ingilikuwa anaka kwa kujiheshimu watu hawatashakiya lakini action zote zinakuwa zinaobesha kama ni wapenzi
ReplyDeletenot again this stupid uneducated jobless team loh its too much we careless what she is doing and wid who hana jipya get urself a life wema stop being stupid better get praised by doing good n let people praise u stop uploading stupid photos and comments unalazima uwe magazetini kila siku too much my dear
ReplyDelete