Mwanasheria mkuu wa chama cha upinzani nchini CHADEMA, Tundu Lissu leo ametangaza kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa Kigoma Kasikani Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe.
"Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo atakuwa amejiondoa uanachama wake, kwahiyo natangaza rasmi rasmi Zitto Kabwe sio mwanachama tena wa Chadema."Amesema Tundu Lissu
Kwa upande wake Zitto Kabwe amesema hawakuwa na wito wa mahakamani leo na Jaji wa kesi kahamishiwa Tabora na hawana taarifa ya Jaji Mpya, pia kaongeza kuwa Mwanasheria anafuatilia na atatoa statement.
Kweli sasa nimeamini Chadema ni chaguo la Mungu,kila anayetaka kukisambaratisha husambaratika kwanza yeye mwenyewe.Unakumbuka sakata la mlinzi jana na leo zitto?
ReplyDeleteNikweli kabisa Chadema ni chaguo la mungu wa wachagga(Nacho charua).
DeleteHeeee chadema chaguo la mungu for really?????acheni mungu aitwe mungu msifananishe Chadema na Mungu,,,,Eti chadema chaguo la mungu,,,,Hongereni chadema mliochaguliwa na mungu,,,ni shidaaaaaa.
ReplyDeleteCHADEMA JUUU JUU JUUU KABISA!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteCHADEMA OYE OYE OYEEEEEEEEEE!!!!
SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII,CCM TUTAPITA KIULAAINI.
ReplyDeleteYAAANI UFISADI WOTE HUO WA CCM BADO UNAIFAGILIA??????????? AU UMEGAWIWA HELA ZA MBOGO?????????
DeleteUsenge mtupu
ReplyDelete