Tundu Lissu VS Zitto Kabwe, nani zaidi katika siasa za kibunge?

Wote ni wazuri ktk kujenga na kutetea hoja. Lissu akiwa yuko fit and competent ktk sheria na katiba huku Zitto akiwa safi ktk masuala ya hesabu, na siasa za nje.

Je, wewe unamkubali yupi kati yao wakiwa nyuma ya mic za mama Makinda pale mjengoni?

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna cha kulinganisha kati ya hawa watu wawili. Ni watu wawili tafauti kabisa. Zitto yuko matawi ya juu mnoo!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. tundu lissu ni digital zito ni anaologue

      Delete
  2. Zito hodari sana lisu kama msanii wa mithali kz yk anasema ovyo tu hana anachokifanya

    ReplyDelete
  3. tundu lissu ni digital zito ni analogue

    ReplyDelete
  4. Mkisema labda kafulila nä zito hapo Poa

    ReplyDelete
  5. tundu lisu just a pig ina Parliament

    ReplyDelete
  6. Lissu ni mtetezi wakweli wa watanzania,Zitto anatetea maslahi yake binafsi.Lissu ni mpinzani jasiri,Zitto anatumiwa na Usalama wa Taifa {TIS).Lissu sio tajiri,Zitto ni bilionea wa kutupwa.Lissu anaheshimika,Zitto anashabikiwa na wasiomjua vizuri.Hakuna kigezo hata kimoja cha kuwalinganisha wawili hawa!

    ReplyDelete
  7. Tindu lisu juu juu zaidi

    ReplyDelete
  8. Zitto is the best

    ReplyDelete
  9. Watu wote tunajua zito ni motowakuotea mbali

    ReplyDelete
  10. lisu yupo juu, zitto ni umarufu wa kutafuta msilahi msalti kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad